Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakunya kubaguana ni jadi yao,wanawakataa wakunya wenzao sababu ni beggars
hao watz mnaowasema kila siku fukuzeni wote wote maana huku kwao mbona hayo maisha hayapo....

muache propaganda,,hayo ni maisha ya kenya na hao ni wakenyabwenzenu usitake kuwakataa kwa kuwatengenezea tabaka ,,hao wote ni wakenya
 
The only reason, we are together on that list is because of using usd as a standard but for sure you know your money is trush as far as ppp is concern, when compare our poorest person against yours ,ours is ten times better
Excuses galore
 
ila kuna lecture Hall inabidi waweke madirisha! 👇
2647699_DSC_6961.jpg



Ikinyesha ya upepo darasa linasimama!
 
Dar ya sasa inasikitisha yaani over 5 years now hii ndio crane pekee kuashiria hiyo structure inaweza kuwa above 15 floors,huu sasa ndio uchumi wa makaratasi
Road infrastructures pekee ndio mumejikakamua.Very sad
Sasa tuache kujenga barabara tuendelee kujenga maghorofa? Mlisema mko na Barabara nyingi kutuzidi sasa ndio tunajikaza kufuta aibu ......
Nakumbuka mkenya m1 akiongea point ya muhimu (city sio maghorofa pekee ni infrastructures )
 
Uchumi na watoto homeless wapi na wapi jomba, mbna unajito ufahamu kihivi leo yani mpka nashuku uwezo wako wa kungamua vitu walai
ushuku usishuku potelea mbali,,

ila hao chokoraa ni kipimo kinachoonyesha hali halisi ya nchi yenu kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja yapo vip...

ila vip kuhusu wale walio turkana na maeneo mengine.....
je wale nao ni yatima...?
 
Naona uneanza kukimbilia kw foreigners, tuonyeshe hao foreigners ambao wanamiliki hata robo ya uchumi wetu
nitakubutua .....

ila nakuhurumia maana hata ulivyoandika umejishtukia ,sababu umeandika kitu ambacho unakijua
 
Watz kw streets wa tele, hilo ukitaka pinga mpka kiama lkn wala haitobadilisha chochote kile mitaani..

Karibia kila siku marikiti tunakutana nao wakiwa stranded hawana pa kwenda
hao watz wametokea wapi....?
 
Back
Top Bottom