Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona yanavokimbilia treni 🤣🤣🤣🤣

4A574F85-1927-4B0B-838F-2B7BB079E58C.jpeg
 
Hizo ni propaganda, eti watz! Mbn huku kuna Wakenya kibao ambao walikuja enzi za mababu lkn hatuwaiti ni wakenya bali tunawaita Watz? Mtu kazaliwa huku, kuja kwake ni matokeo ya mababu zake utampokonya vp uraia?

Maisha ya watanzania wanaoishi Kenya ambao mnasema ni ombaomba yametokana na hali ngumu ya Kenya, najua wanatamani kurudi Tanzania lkn haiwezekani mana si watanzania hao bali ni wakenya so wacheni kuwadhalilisha Wakenya wenzenu, au mnataka kutuaminisha kwmb wakazi wa kwenye ma slums yenu wote ni watanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha!!povu la kimataifaa hili, kwhyo mtu aliyeingia nchini kinyamela na kuanza kuzurura na kufanya vibarua vidogo vidogo atakua ni raia halali sio

Kwanza bado kuna watanzania wengi sana ndoto zao ni kuja wa hustle kenya walau kw mda mchache angalau nao watoke ila kwa wengine mambo huwa magumu zaidi..
 
Back
Top Bottom