Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tatizo unadharau mayatima yaani akili yako imewaza kuwa mtu yatima ndiye mtu anayeishi na ufukara ,wakati wapo tena wengi tu wana good life.....

yaani ulivyonijibu hapo awali kama kwamba hapo nairobi au kenya kwa ujumla wanaoishi kwenye maisha magumu ni yatima pekee..

uache hizo mambo za kuchukulia poa yatima
Watu waliotelekezwa na familia yao au walioachwa na wazazi wao wakiwa katika hali ngumu unataka waishi maisha mazuri vipi...

Ukinambia watu wa kwenyw slums hapo nitakuelewa, kw sababu wale ni watu na nguvu zao ni changamoto za maisha na kiuchumi..
Lkn homeless hapo labda uwe juu hko vizuri
 
so r u trying to say Ali Kiba can't afford that car? If a radio presenter Koinange in Kenya can afford, how about a top 5 artist in East Africa with a list of endorsements? unakuwa falamanga aisee!
Yani hao jamaa ni mafala sana 🤣🤣🤣
 
Hehhehehe hvi wewe kiba unamchukuliaje ??????😅😅😅😅
Mtu anamiliki majumba ya kifahari ashindwe kumiliki hio benz👇👇👇










huwa hujaribu kufananisha wanamuziki wetu na wao mtu mpaka ana products zake, label na super studio huyu fala anadhani kachoka kama wanamuziki wao!
 
komora096 unajua hii ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
20201226_164312.jpg
20201226_164336.jpg
 
ivi showz za wasanii zmesharuhusiwa apo naii?


[emoji116][emoji1241][emoji1241]huyu gigymoney anatengeneza pesa kuliko avrilView attachment 1659609
Huyo gigi money ndio nani? Halafu mbona siku hizi wasanii wa kike wamekosa nidhamu kabisa. Yaani zamani wasanii wa kike walikuwa wanatengeneza pesa kwa kuimba kwa sauti ya ninga kwa mfano Nyota ndogo. Lakini siku hizi wanatengeneza pesa kwa kupanua miguu na kuonyesha watu makalio hadi mtu anaweza kuona mavi. Yaani wamekosa talent kabisa.
 
Back
Top Bottom