Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe utamuweza wapi mtanzania anaejua kiingereza matako wewe, kiswahili chenyewe hujui, kiingereza cha kuokoteza okoteza ( kiingereza cha mafungu) chenye accent ya kidwanzi kama unachoongea wewe, unadhani utamtisha nani humu.? 😂😂😂

Unanifurahishaga sana unavyojimwambafai wakati hata kiswahili chako chenyewe hunyooshi matamshi, kibongo bongo wew ni mshamba mmoja tu, kama ulikua hujui leo nakusanua.
.....and I'm supposed to debate Mr. Baboon on language fluency? Miss me on that.🚮🚮
 
Back
Top Bottom