Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilimani ikaacha DAR? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kua mzalendo ila usiwe mjinga
Twende polepole tu
tapatalk_1599067822285.jpg


Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
 
Ebu enda huko uwapige picha[emoji23][emoji23][emoji23]. Tunataka kuona hao wenye njaa.
Chakula siyo nyumba kwamba haiwezi kuisha. Chakula kinaisha. Hata ukiwapa magunia mia ya chakula, kitaisha tu. Hata ukienda saa hii Turkana, utakuta watu wana njaa.
 
Sijaona wenye njaa huko ndio maana nimekuambia uende mwenyewe juu umeinsist kuna njaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka nikoswe koswe na AK47. Nenda wewe kapige. Kwanza uko karibu nao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom