Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu enda huko uwapige picha[emoji23][emoji23][emoji23]. Tunataka kuona hao wenye njaa.
Nimetoka Turkana juzi tu hapa
Wana hali mbaya sana
I spent some spectacular moments here at their topnotch CBD 😅😅😅


EpYIdNQW8AACHQb-1.jpg
 
Mwanza ina zaidi ya 2 million people

Dar ni 1600 km square ina watu 7 million

Nairobi ni 690 km square ina watu 5 million

Nani wamejazana wapi? [emoji848]
Mwanza city, subutu nenda kwadanye wazee hko vijiweni
 
Mnajenga au wachina wanajenga na ni ya kwao 100% ?
Waambieni wakimaliza waichukue waipeleke kwao basi km vile nyie standard chattered na AFDB watakavyoamua kuchukua vipande vyao vya reli mwakani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom