Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wewe sisi huwa tunaamini kama ujinga wako una afadhali kidogo,lakini hapa unathibitsha nawewe ni wale wale,kiazi wahed.

kwani za chini zinaitwaje!!!hii case ikiwa upande wenutatafuta maelezo yote kujazia kama kule kwenye floating bridge.
[emoji116][emoji116][emoji116]unaweza hesabu ukitakaView attachment 1654949
Kati yangu na wewe nani ndio kiazi? Nani ana IQ ya juu kati yangu na wewe?
 
Zilizopo kwenye hii picha ni tower tatu pekee na tuko 2020.....sasa hizo zingine ziko wapi kama ulivyo list hapo juuView attachment 1655103

Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
Hiyo ndio shida yenu wakunya, nairobi inaonekana kwenye picha moja.
So jua kuwa DSM imejengeka sehemu kubwa ndio maana unapata shida kupata DSM kwenye picha moja.

Mfano ni hili hapa, huweziliweka kwenye picha moja na TPA: PPF TOWER : ::: Estim Construction :::

1608463597955.png


1608463741088.png
 
So nikuamini ww au nimuamini aliejenga hebu jihukumu mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
TPA will never be 40 floors[emoji23][emoji23][emoji23]. In East Africa there are only two buildings with 40+ floors, GTC and CEB .

tapatalk_1608447660795.jpeg
 
Hata ndio nashangaa[emoji23][emoji23][emoji23], yani lift inasema tu vizuri kuwa TPA kuna 36 floors pekee lakini kuna fala fulani analazimisha ikuwe na 40 floors[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] lift tayari zishasema ama labda iyo lift ni bonoko.
 
Yenyewe majengo yenu yana ubora wa hali ya juuView attachment 1655109

Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
Bro hapo wapi? Mbona kama vile uvira labda na huko upajui Mimi nakuelezea kulingana na experience yangu binafsi sijui umenielewa? Nimekaa Nairobi zimerman,umoja 2,ina core na nimefika mitaa mbali mbali Yani kwa ufupi slum zenu nazijua vizuri🙂mfano slum ya Kwanza na ya pili mathare upande wa desert,ya tatu kibra au kibera alafu ya nne korogocho upande wa mukuru au dandora dumpsite Sawa?🙂
Hakuna udongo mwekundu Dar unless hujaingia class, Dar is a coastal city huwezi kuta dongo jekundu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Jamaa kaamua kutuwekea picha za uvira kwa kina Christian bella 🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • liveinslums-photo-2020_12_20_13_41.jpg
    liveinslums-photo-2020_12_20_13_41.jpg
    166.8 KB · Views: 12
  • mathare_film-photo-2020_12_20_13_40.jpg
    mathare_film-photo-2020_12_20_13_40.jpg
    122.2 KB · Views: 11
  • michaelantonkraus-photo-2020_12_20_13_38.jpg
    michaelantonkraus-photo-2020_12_20_13_38.jpg
    131.8 KB · Views: 13
  • restoredignitykorogocho-post-2020_11_07_14_58.jpg
    restoredignitykorogocho-post-2020_11_07_14_58.jpg
    73.6 KB · Views: 12
Back
Top Bottom