Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwariro market. Wengine wamejenga soko mbili pesa ikaisha[emoji23][emoji23]View attachment 1651728
huyo mjenzi aliyejenga hiyo markert 2020 ni kichaa ama...?

wakenya kwenye sector ya ujenzi mpo local sana....yaan mpaka mje kujengewa..

hiyo markert imekaa godown inabidi musaajiri store keeper na slave[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tulichoahidiwa miaka 50 [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1651871






Tulicholetewa baada ya miaka 50 ama kweli mchina hataingia peponi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1651874View attachment 1651873View attachment 1651875View attachment 1651876View attachment 1651877View attachment 1651878




wadau naombeni mwaka huu uishe kwa salama bila ugonvi na matusi wala hasira[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
temporar bridge ya kuvukisha wakimbizi in war ground[emoji1787][emoji1787]
 


Hii inakaaje kulipa jina daraja kabla halijaisha? Hii ni kama kumuita mtoto jina kabla hajazaliwa!
 
sema pes wako poa sana kwa graphit mobile game sema wanafel hawawek real team kwa wachezaji mpaka ununue au upate free pack ya kuotea player
Mm binafsi naikubali sn pes kuliko fifa ila tangu simu iharibike nashindwa kuipakua tena kila nikiipakua kwenye ku extract inagoma, but piga ua lazima niichukue cz hakuna game la mpira la simu linafikia pess.
 
Huu kama sio ushamba basi ni nini jamani? Ndio mara yako ya kwanza kucheza FIFA?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heheheee angalia huyo niliyemsajili ndiyo content yenyewe [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Screenshot_20201216-104005.jpg
 
Back
Top Bottom