komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Ukinijibu swali la kwangu nililokuuliza kule juu ndio ntakujibu faster sana..Sasa mimi nakuuliza maswali 2 tu,ili nione je unajua unachokizungumzia!
1.kaligraph alitokea kwenye category ngapi?
2.ni category gani alikuwa nominated?
Jibu hayo maswali nikufundishe kitu mrembo
Je kuna mbongo aliyewahi kuwa nominated BET?
Km ndio category gani?
Haina haja tuzungushane kabisa kw ishu ndogo km hii, manake naona unajifurukuta tu tabgu sa zile


