Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Na ww unauliza nini hapo sasa ? Wakina diamond , vanessa, Alikiba Ray vanny tena na kuchukua alichukua kipindi ananza tuu ...ayo sio mambo ya kuongelea TzUkinijibu swali la kwangu nililokuuliza kule juu ndio ntakujibu faster sana..
Je kuna mbongo aliyewahi kuwa nominated BET?
Km ndio category gani?
Haina haja tuzungushane kabisa kw ishu ndogo km hii, manake naona unajifurukuta tu tabgu sa zile






