Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nominated!???..sisi hiyo bet hadi tumechukua we unazungumza nomination!!!..kweli sisi sio level yenu,huyo kaligraph alivyokuwa nominated naona mkaandaa na sherehe kabisa[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Napo ashukuru kolabo zile mfululizo alizofanya na wabongo..
Na naona amewekeza juhudi zake kwa sasa kwenye kunyanyua vyuma... Ataishia kuwa bodyguard au Baunsa wa Elements Mziki ukiisha 🙂 😀
 
Mwariro market. Wengine wamejenga soko mbili pesa ikaisha[emoji23][emoji23]
IMG_20201216_205621.jpeg
 
2020 kafanya collabo na mbongo wa wapi[emoji1787][emoji1787]
Tueleimishe mzee baba
We vp!?..kawa nominated 2020 kwa ngoma za mwaka jana,ngoma za mwaka huu subiri mwakani kama atakuwepo

Duh,swali lako limenifanya nijiulize mara 2 kwamba mziki wenyewe unauelewa kweli!
 
Tofauti yetu na nyinyi hatuongopewi km serekali haikopi, ila nyie mnapigwa nyondo za longo longo kila leo..
Hela za ndani vipi jamani donor kantri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani kaongopa mkiambiwa ukweli hamutaku munabaki kulia kisa tanzania inajenga baadhi ya phase kwa pesa yake🤣🤣🤣👇👇
9CF43C36-018B-471D-9DCA-FB44AEE78A19.jpeg
 
Back
Top Bottom