Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huo ndiyo ukweli,download direct kwa play store....

au version ya simu ipo down chief...?
Hapana mkuu simu yng iko vzr tu ila haya magemu ya pess hayapatikani kule play store yanapatikana Google, kule play store lipo la 2021 na 2019 ambayo huwa siyapendi, mm napenda ya kutumia ppsspp, ila kuna jamaa kashanipa mbinu niingie site gani cz nimepoteza gb nyingi sn kwa kupakukua file za pes kutoka site za kihuni.

Yn mm nikinunua simu miongoni mwa files za kwnz kabisa ku download ni pes haikosagi kwenye simu yng
 
aiseee hao kunguru wa kikenya hawatuwezi hata robo
Kweli Kaka Jamaa nmekaa mda mwingi Sana asili ya mkenya ni sifa,kiburi na dharau,ndo maana mara nyingi hua napotezea arguments za kijinga Una Toa facts bado ubishi tu🙄
 
Hapana mkuu simu yng iko vzr tu ila haya magemu ya pess hayapatikani kule play store yanapatikana Google, kule play store lipo la 2021 na 2019 ambayo huwa siyapendi, mm napenda ya kutumia ppsspp, ila kuna jamaa kashanipa mbinu niingie site gani cz nimepoteza gb nyingi sn kwa kupakukua file za pes kutoka site za kihuni.

Yn mm nikinunua simu miongoni mwa files za kwnz kabisa ku download ni pes haikosagi kwenye simu yng
hapo nimekupata ,,kumbe unataka kuectract kipitia ppsspp.........ningekupa taff sema kipengele inabidi utulie mbona chap tu apo....

ila hii ya play store ipo better mkuu

sema wapo kwenye maintanance now
Screenshot_20201217-071339_PES%202021.jpg
 
hapo nimekupata ,,kumbe unataka kuectract kipitia ppsspp.........ningekupa taff sema kipengele inabidi utulie mbona chap tu apo....

ila hii ya play store ipo better mkuu

sema wapo kwenye maintanance nowView attachment 1651982
Kumbe bado wapo kwenye maintenance ndo mana ilinimalizia gb hii, nilimaliza kila kitu na bado wakataka kunipiga gb nyingine eti ni update efootball nkaachana nayo.
 
Kweli Kaka Jamaa nmekaa mda mwingi Sana asili ya mkenya ni sifa,kiburi na dharau,ndo maana mara nyingi hua napotezea arguments za kijinga Una Toa facts bado ubishi tu
hawana ishu hao,,,we wachore tu.......
asilimia kubwa ya hawa tunaobishana nao ni chokoraa type....njoroge girls na njoroge boys

hivyo wazoee wanajifurahisha
 
Kumbe bado wapo kwenye maintenance ndo mana ilinimalizia gb hii, nilimaliza kila kitu na bado wakataka kunipiga gb nyingine eti ni update efootball nkaachana nayo.
bicho ndicho wanachozingua ni game ambalo lipo update mara kwa mara......washikaji wapo kibiashara sana

wanaforce kwa kucommand kuupdate ilipaswa waweke option ya kukubali au kukataa ila wao wanaforce bila kuupdate hauwezi kuplay
 
Back
Top Bottom