Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kibuye Market


Launching 16th december 🤣🤣🤣🤣 wakat hii ni njombe municipal👇👇👇👇

F29069DD-96AE-4265-B0A4-C9CA3D9807CC.jpeg
FAB33B37-FB6B-462C-BB81-D46C703BAC60.jpeg

 
We nae wacha upuuzi, hyo Battle ya markets tulishaimaliza humu, hamuwezi na hamtokaa muweze kushindana na tz ktk masoko, tumejenga masoko mapya nchi nzima na yanafanana fanana unaeza sema moja.
Jamani, hili nalo boko la mwaka
 
Masoko nane nchi nzima?
We nae wacha upuuzi, hyo Battle ya markets tulishaimaliza humu, hamuwezi na hamtokaa muweze kushindana na tz ktk masoko, tumejenga masoko mapya nchi nzima na yanafanana fanana unaeza sema moja.
 
Wivu utakuua wewe
Dar to Morogoro, $1.2B Fully funded by GoT

Morogoro to Makutopora, $1.9, ADB wametoa $1.4B, GoT imetoa $0.5B

Net work nzima itagaharimu $14B, kuna tutakazokopa lakini nyingi tutatoa wenyewe.

Muhimu ni kwamba, hatujengi kwa kutegemea mikopo full kama ninyi, na mikopo tunayochukua sio "Commercial".
Kwa hivyo Standard Chartered Bank leo ni waongo. Wewe ndio unasema ukweli hapo Gongo la Mboto!!
Below is a report from the OFFICIAL Standard Chartered Bank website:


Standard Chartered Bank is financing the first phase running from Dar to Makutupora via Morogoro at a total cost of $1.46b.

Below is what paragraph one of the article says, just in case you are too lazy to open the link and read:
Dar es Salaam, Tanzania. The Government of Tanzania Ministry of Finance has signed a facility agreement with Standard Chartered Tanzania for a US$ 1.46 billion term loan financing to fund the construction of the Standard Gauge Railway (SGR) project from Dar es Salaam to Makutupora.

Mtakana hadi lini dona kantre?
 
Back
Top Bottom