Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

maengineers wasomi wa kenya wamekaa kbsa maofisin kwao na kuamua hii ‘sidewalk’ ikae katikati ya barabara! na wasomi wenzao ambao wapo humu wanaiita hii middlewalk sidewalk

na wamefikiria kbsa (assumption ya accidents prevention) ikitokea gari ikipata shida kwenye mwendo, dereva atafikiria kuelekeza gari kushoto kwenye majengo na sio kulia kwenye watu (middlewalk) na uwazi
IMG_1607288276.148263.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣heeeeeeee,,sjawahi ona mkenya yeyote ama kusikia angetamani kuwa wa huko Tz,,btw tangu nikiwa mdogo nmeishi kujua Tz wajinga and poor,,and that's the Fact until now,mko chini yetu kwa kila kiti
Ni kweli mmetuzidi kwa ufisadi,ukabila,ubinafasi,uchafu,pollution,njaa na mengine kibao😏
 
maengineers wasomi wa kenya wamekaa kbsa maofisin kwao na kuamua hii ‘sidewalk’ ikae katikati ya barabara! na wasomi wenzao ambao wapo humu wanaiita hii middlewalk sidewalk

na wamefikiria kbsa (assumption ya accidents prevention) ikitokea gari ikipata shida kwenye mwendo, dereva atafikiria kuelekeza gari kushoto kwenye majengo na sio kulia kwenye watu (middlewalk) na uwazi
View attachment 1643517
Speed mostly in the CBD how as low as 30kph,so no accident can happen here especially kukanyanga watu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] You are way too deep in Your crappy ass life to the extent that you’ve forgotten that you’re living in hell...the hell of your own making!
Ushampoteza, hapa wala hajaelewa atabaki na English yake ya "last time I checked...", "Have never happened...", "This.. this...", Hawa jamaa bhn[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Jamaa hivi mnafahamu Dodoma kuna sehemu wanaruhusu ujenzi wa nyumba za ghorofa tu hauruhusiwi kujenga nyumba za kawaida.

Moja ya masharti ya kuuziwa kiwanja pale ni ujenge nyumba ya ghorofa.

Na nasikia viberiti vimeinuka kweli kweli.

Niko Dodoma safari ya kikazi ngoja nijaribu kufuatilia hiyo sehemu nione kama nitafanikiwa kupiga na picha.

Mipango miji Dodoma mmetisha kweli kweli.
Fanya hivyo mkuu tuyatetemeshe haya ma lazy.
 
sidewalk in the middle of the road. seriously? hata bure siitaki! hii itakuwa middlewalk na si sidewalk! Only in Kenya !
Nlikuwa cjaona, oyaa wakuu oneni boko hili, yn serikali inawawekea mtego raia wanase wafe, oneni sidewalk hii[emoji116][emoji116][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
JamiiForums-1347726731.jpg
 
maengineers wasomi wa kenya wamekaa kbsa maofisin kwao na kuamua hii ‘sidewalk’ ikae katikati ya barabara! na wasomi wenzao ambao wapo humu wanaiita hii middlewalk sidewalk

na wamefikiria kbsa (assumption ya accidents prevention) ikitokea gari ikipata shida kwenye mwendo, dereva atafikiria kuelekeza gari kushoto kwenye majengo na sio kulia kwenye watu (middlewalk) na uwazi
View attachment 1643517
Na huwa wanaipost kila baada ya dk 5, wkt cc tuna ma sidewalks ya kumwaga mpk wakakimbia, ila wakuu hili boko ckuwa naliona mpk Geza Ulole aliposema [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom