Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣heeeeeeee,,sjawahi ona mkenya yeyote ama kusikia angetamani kuwa wa huko Tz,,btw tangu nikiwa mdogo nmeishi kujua Tz wajinga and poor,,and that's the Fact until now,mko chini yetu kwa kila kiti
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]heeeeeeee,,sjawahi ona mkenya yeyote ama kusikia angetamani kuwa wa huko Tz,,btw tangu nikiwa mdogo nmeishi kujua Tz wajinga and poor,,and that's the Fact until now,mko chini yetu kwa kila kiti
Hahaha, you tube huko katika speach za Magufuli, 80% ya wakenya wanasema wanatamani kuja kuishi Tanzania, tukuwekee "comments" zao?
 
Hahaha, you tube huko katika speach za Magufuli, 80% ya wakenya wanasema wanatamani kuja kuishi Tanzania, tukuwekee "comments" zao?
Haha,wenye wali comment ni million ngapi ili wasimami 80 percentage ya Kenya🤔 tena hao walisema hivo of course ni opposition,they don support Uhuru government
 
Hahaha, you tube huko katika speach za Magufuli, 80% ya wakenya wanasema wanatamani kuja kuishi Tanzania, tukuwekee "comments" zao?
Wacha kuota ndoto za mchana kijana hakuna Mkenya anayetamani kuishi dar uswazini.Jiji la kishamba sana ukicompare na Nai
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣heeeeeeee,,sjawahi ona mkenya yeyote ama kusikia angetamani kuwa wa huko Tz,,btw tangu nikiwa mdogo nmeishi kujua Tz wajinga and poor,,and that's the Fact until now,mko chini yetu kwa kila kiti
Why speak on behalf of other Kenyans? Your opinion is yours and yours alone! So stick it up your ass crack.
 
Kuna historia za aina mbili.
1. Ambayo mombasa mnaijua
2. Ambayo dunia tunaijua

Ziko nadharia nyingi za asili ya kiswahili kama zifuatazo.. kiswahili ni
1.kikongo
2.kikreoli kama umetembea bahari ya hindi utaelewa hii
3.kipijini
4.ni kiarabu
5.kibantu
6.na nyinginezo

Ukiongelea asili ya pwani ambapo ni nadharia pia katika nadharia nyingi unaongelea km16 za bahari ya hindi na visiwa vyake ambapo unapata miji kama
Mikindani(mtwara)
Lindi
Kilwa
Pwani
Mzizma, DAR ES SALAAM
Bagamoyo
TANGA
mombasa
Lamu
Zanz bar
Comoros
Mayotte
Na visiwa vingine vingi (hapa pia utagundua kiswahili asili ni pwani na sehemukubwa ya pwani ya africa mashariki iko tanzania)
Kumbuka miji yote hiyo ni chini ya km20 kutoka bahari ndio ilikua pwani ya waarabu ambayo ilikua ni makazi ya waswahili sasa iyo historia ya asili ya kiswahili ni mombasa kamwambie kenyatta.. hata ivyo kiswahili kama lugha kimepitia evolution kubwa sana na kwa sasa Baraza la kiswahili la tanzania ndio taasisi kubwa ya lugha ya kiswahili duniani so kiswahili ni lugha ambayo kwasasa tunasema ni asili ya Tanzani. Nadhani darasa limeeleweka hapo. Kamuelimishe kenyata.
Kwhyo kw akili yako pwani ya kenya ni mombasa na lamu pekee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Historia haitambui lindi wala sijui nini jomba..
Historia imeeleza vyema tu kiswahili chimbuko lake ni mombasa, lamu, zanzibar kw sijui hzo ngojera nyingi hata sisi pwani tuna miji kibao lkn vile sio wanafiki hatuwezi kubali kupindisha vitu vya maana km hivi..
Eti lindi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣heeeeeeee,,sjawahi ona mkenya yeyote ama kusikia angetamani kuwa wa huko Tz,,btw tangu nikiwa mdogo nmeishi kujua Tz wajinga and poor,,and that's the Fact until now,mko chini yetu kwa kila kiti
Mjinga na poor ni wewe na familia yako
AE1D0810-1E70-4486-A177-59CE79BCD4F4.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii ni kusema pspf tower ina meter 200 kwasababu meter 50 zimefanyiwa creativity zikawekwa underground[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena unajua maana ya level au unayuka tu
 
Wacha kuota ndoto za mchana kijana hakuna Mkenya anayetamani kuishi dar uswazini.Jiji la kishamba sana ukicompare na Nai
Nani kakuambia Tanzania ni Dar pekee, wakenya kibao wamejaa vijijini Tanzania wanalima.

Kiujumla wakenya wanaipenda Tanzania sana, wengi wanasema wangependa kuzaliwa Tanzani, soma wakenya wenzako jinsi wanavyoitamani Tanzania ktk comments hapo Chini.

Ninakuletea video ya Dar es Salaama, wakenya wengi wamesema wanapenda kuishi Dar.
 
Kwhyo kw akili yako pwani ya kenya ni mombasa na lamu pekee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Historia haitambui lindi wala sijui nini jomba..
Historia imeeleza vyema tu kiswahili chimbuko lake ni mombasa, lamu, zanzibar kw sijui hzo ngojera nyingi hata sisi pwani tuna miji kibao lkn vile sio wanafiki hatuwezi kubali kupindisha vitu vya maana km hivi..
Eti lindi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiukweli navutiwa na historia yenu ningependa kuijua maana yenyewe ni unique! Unasema histria haijui lindi.

Unajua kilwa katika historia ni miongoni mwa miji tajiri kabisa katika pwani ya bahari ya indi??
 
Haha,wenye wali comment ni million ngapi ili wasimami 80 percentage ya Kenya[emoji848] tena hao walisema hivo of course ni opposition,they don support Uhuru government
Nimesema 80% ya walio comment sio wakenya wote, wewe umejuaje kwamba wakenya wanaotumia Youtube ni opposition pekee?, Yaani mkenya yeyote mwenye kupenda nchi nyingine basi lazima awe ni kutoka opposition, ina maana kama wewe ni mkikuyu wa Jubilee huna uhuru wa kuelezea hisia zako lazima uunge mkono Jubilee hata kama imeshindwa kuongoza nchi?
 
Kwhyo kw akili yako pwani ya kenya ni mombasa na lamu pekee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Historia haitambui lindi wala sijui nini jomba..
Historia imeeleza vyema tu kiswahili chimbuko lake ni mombasa, lamu, zanzibar kw sijui hzo ngojera nyingi hata sisi pwani tuna miji kibao lkn vile sio wanafiki hatuwezi kubali kupindisha vitu vya maana km hivi..
Eti lindi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini pia kwani pwani ya africa mashariki unadahni ni mombasa lamu na zanzibar pekee...
images (53).jpeg

Angalia iyo rangi nyembaba ndio izo 20km za coastal na ndio pwani yenyewe pre colonial. Na hii ni nadharia moja ya kiswahili..
 
Kiukweli navutiwa na historia yenu ningependa kuijua maana yenyewe ni unique! Unasema histria haijui lindi.

Unajua kilwa katika historia ni miongoni mwa miji tajiri kabisa katika pwani ya bahari ya indi??
Kilwa ulikua mji wa biashara pamoja na lamu enzi hzo...
Kulikua na sultanete flani hko ndio muanzilishi kaenda kw ajili ya kufanya biashara zake..
Na ujue hko pia kulikuwa na mreno, kilwa ilikuja kusambaratika
 
Back
Top Bottom