Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Nimekupa specific example unafaa ujibu wacha kukwepa swali, Cape Town kukosa maji ni sehemu ya udhahifu wa serikali ya Africa Kusini, hivi unadhani kwasababu South Africa imepiga hatua kimaendeleo kwahiyo haipaswi kurekebisha matatizo waliyonayo?, kwasabsbu South Africa wanayo matatizo ya "Crime, unemployment, water scarcity, slums, and high rate of HIV and Corona, kwako wewe unadhani sio tatizo Kenya ikikumbwa na hayo matatizo?.
Mambo ambayo yanasababisha viongozi wengi wa SouthAfrica kutomaliza vipindi vyao vya uongozi na kuondolewa madarakani ni kutokana na kushindwa kuyapatia ufumbuzi hayo matatizo.
Kenya kuna matatizo mengi sana, tena ya muda mrefu, matatizo ya msingi sana ambayo serikali yoyote makini inaweza kuyatatua tena kwa pesa za ndani ya nchi.
1)Upungufu wa chakula
2)Upungufu wa maji
3)Slums
4)Kutoa tiba bure kwa wagonjwa wa cancer
5)Kupambana na rushwa
6)Kupambana na ujambazi na wakora.
Ina maana serikali yenu imeshindwa kutatua haya matatizo toka 1963 hadi leo, na hakuna rais aliyewajibishwa kwa kuondolewa madarakani kabla kipindi chake kumalizika kama wanavyofanya huko Africa Kusini, bado unadhani wakenya vichwa vyenu ni makini kweli?

Nani alIye kwambia Kenya haijaanza kufanya marekebisho? we are improving our country, coming up with mechanisms to solve several challenges, though corruption has been slowing us down, but kuna hatua kubwa sana ukitizama nyuma! Kenya tumepata Uhuru wa kweli mwaka wa 2002.,(Tanzania bado hamjakombolewa, hilo ulijue) sasa kutoka hapo(2002) mambo ndio yalianza kubadilika though not at a rate we would like, but changes are tangible kote kote from 2002 to 2020, naeza nikajivunia kuwa mkenya ingawa hatujafika but so far we are above u na tuta endelea hadi mwish wa dunia., from 2002 ndio economic gap kati yetu na nyinyi ilianza kupanuka., wewe umebaki ku focus on the negatives, do a comparison analysis ya Kenya before 2002 na Kenya after 2002., compare the positives vs the negatives, hits and misses, evaluate achievements against failures. Our media is good at criticizing more than praising(which is good, nyie three level ni shangwe, Kenya lazima wange chambua na ku criticize kama wanavyo fanya elevated expressway kujengwa Mombasa road), so kwa mtu aliye nje kama wewe unakua na mtazamo imbalanced, but wewe specifically uko hapa kuitetea nchi yenyu hafifu dhidi ya Kenya, so u will highlight the negatives to try and make Tz appear as heaven, facts zikiwekwa wazi mna angukia pua almost kwa kila kitu., ni domo domo tu enriched by propaganda. (Pulling someone down does not make u to be on top, just do you)Nimekupa specific example unafaa ujibu wacha kukwepa swali, Cape Town kukosa maji ni sehemu ya udhahifu wa serikali ya Africa Kusini, hivi unadhani kwasababu South Africa imepiga hatua kimaendeleo kwahiyo haipaswi kurekebisha matatizo waliyonayo?, kwasabsbu South Africa wanayo matatizo ya "Crime, unemployment, water scarcity, slums, and high rate of HIV and Corona, kwako wewe unadhani sio tatizo Kenya ikikumbwa na hayo matatizo?.