Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wazungu wakisema Tanzania is the most urbanized country in the region wakenya wananuna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haya hii ni Mara, Musoma 25th Tanzanias Region πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Kenya ukiondoa miji yao minne, huko kwengine hata barabara ya vumbi hamna πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

There's very little difference between Dar and the rest of Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

maxresdefault (1).jpg
morogoro-town-street.jpg
hqdefault.jpg
maxresdefault (2).jpg
19982544999_1022a98321.jpg
Musoma-airport-1-660x330.jpg
 
Bwahaha
Huna hoja wewe, kwn tanga ina historia gani ya kiswahili.
We mpuuzi sana kumbe..
Tanga wanajua nn wale sasa kuhusu kiswahili, magwiji wa kiswahili ea wanatokea lamu, mombasa, zanzibar acha porojo..

Alafu kw taarifa yako mpka wa kenya na tz ulishawai fungwa na hakuna lolote..
Kwanza wadigo wa tanga si wengi wao roots ni kenya
Wacha bana ndo shule zenu za mombasa mnavofundishwa? Wamba asili ya kiswahili ni mombasa na lamu??
Sasa mbna hamjui kiswahili???

By the way ivi Unajua nadharia ngapi za asili ya kiswahili??
 
Wazungu wakisema Tanzania is the most urbanized country in the region wakenya wananuna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haya hii ni Mara, Musoma 25th Tanzanias Region πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Kenya ukiondoa miji yao minne, huko kwengine hata barabara ya vumbi hamna πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

There's very little difference between Dar and the rest of Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 1643181View attachment 1643182View attachment 1643183View attachment 1643184View attachment 1643186View attachment 1643187
Musoma vs Nakuru
 
Nenda kasome historia jomba achana na taarab zisizokua na tija..

Wacha ni neno km vile acha lkn kuna sehemu haliwezi ingiliana, usitulazimishe tutumie maneno km mnavyotaka nyie..
 
View attachment 1643181View attachment 1643182View attachment 1643183View attachment 1643184View attachment 1643185View attachment 1643186View attachment 1643187
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚bado una ropokwa your ignorance Kila mahaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., I know the report u are referring to, next time chukua muda kusoma, urbanized means population in towns not development wiseπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ the reason low life living is the punctuation of all your market places u call towns and cities.

I dare u, chukua towns from numbwr five in Kenya onwards, (NB:5th town equals your 2nd city),
So chambua akina Thika, Kisii, Machakos, Meru, Malindi, Kakamega, Kitale, Bungoma etc tuone your opinion!πŸ˜‚πŸ˜‚ unapenda kujikweza sana! Umezoea propaganda mimi nitakuumbua peupe!πŸ˜‚πŸ˜‚ I bet many organized residential estates za towns below number 5 ni level ya upper class in DarπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii 2020 mlisema mnamaliza mchezo lakini bado mko pale pale, na msisingizie corona, nyie hamkufunga nchi, sasa nikutapatapa tu na kusongeza magoli. Raha!
 
Usilinganishe musoma na miji ya ajabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nakuru nimeshafika sijui solai hata tarime na bunda inawachapa chini kwa miundo mbinu
Another muongoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ weka drone view wakenya tushangae Tz ilivyo fanana na ulayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kila kitu kiko mitandaoni mambo ya domo domo wachia akina CCM propagandist.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚bado una ropokwa your ignorance Kila mahaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., I know the report u are referring to, next time chukua muda kusoma, urbanized means population in towns not development wiseπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ the reason low life living is the punctuation of all your market places u call towns and cities.

I dare u, chukua towns from numbwr five in Kenya onwards, (NB:5th town equals your 2nd city),
So chambua akina Thika, Kisii, Machakos, Meru, Malindi, Kakamega, Kitale, Bungoma etc tuone your opinion!πŸ˜‚πŸ˜‚ unapenda kujikweza sana! Umezoea propaganda mimi nitakuumbua peupe!πŸ˜‚πŸ˜‚ I bet many organized residential estates za towns below number 5 ni level ya upper class in DarπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii 2020 mlisema mnamaliza mchezo lakini bado mko pale pale, na msisingizie corona, nyie hamkufunga nchi, sasa nikutapatapa tu na kusongeza magoli. Raha!
Hahahaha ingekua Kenya hii ni mega city tayari πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Musoma baby πŸ˜˜πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

images - 2020-12-06T162938.675.jpeg
229252864.jpg
20655030348_38584be6e7_b.jpg
maxresdefault (3).jpg
kh (1).jpeg
 
Towns
Wazungu wakisema Tanzania is the most urbanized country in the region wakenya wananuna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haya hii ni Mara, Musoma 25th Tanzanias Region πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Kenya ukiondoa miji yao minne, huko kwengine hata barabara ya vumbi hamna πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

There's very little difference between Dar and the rest of Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 1643181View attachment 1643182View attachment 1643183View attachment 1643184View attachment 1643186View attachment 1643187
zinafanana na miji za Uganda, Malawi ni mwenzenu
 
Nenda kasome historia jomba achana na taarab zisizokua na tija..

Wacha ni neno km vile acha lkn kuna sehemu haliwezi ingiliana, usitulazimishe tutumie maneno km mnavyotaka nyie..
Kuna historia za aina mbili.
1. Ambayo mombasa mnaijua
2. Ambayo dunia tunaijua

Ziko nadharia nyingi za asili ya kiswahili kama zifuatazo.. kiswahili ni
1.kikongo
2.kikreoli kama umetembea bahari ya hindi utaelewa hii
3.kipijini
4.ni kiarabu
5.kibantu
6.na nyinginezo

Ukiongelea asili ya pwani ambapo ni nadharia pia katika nadharia nyingi unaongelea km16 za bahari ya hindi na visiwa vyake ambapo unapata miji kama
Mikindani(mtwara)
Lindi
Kilwa
Pwani
Mzizma, DAR ES SALAAM
Bagamoyo
TANGA
mombasa
Lamu
Zanz bar
Comoros
Mayotte
Na visiwa vingine vingi (hapa pia utagundua kiswahili asili ni pwani na sehemukubwa ya pwani ya africa mashariki iko tanzania)
Kumbuka miji yote hiyo ni chini ya km20 kutoka bahari ndio ilikua pwani ya waarabu ambayo ilikua ni makazi ya waswahili sasa iyo historia ya asili ya kiswahili ni mombasa kamwambie kenyatta.. hata ivyo kiswahili kama lugha kimepitia evolution kubwa sana na kwa sasa Baraza la kiswahili la tanzania ndio taasisi kubwa ya lugha ya kiswahili duniani so kiswahili ni lugha ambayo kwasasa tunasema ni asili ya Tanzani. Nadhani darasa limeeleweka hapo. Kamuelimishe kenyata.
 
Inachapwa asubuhi mno

Kama kuna kitu wakenya wanatakiwa washukuru ni JF na social media sababu zimewaonesha namna gani walivyo hovyo tofauti na walivyokua wakidhani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
...infact nilidhania Tz has quite nice developed towns, kumbe mko na Dar pekee! mtandao ime waumbua deadly!
 
Una
Towns

zinafanana na miji za Uganda, Malawi ni mwenzenu
Unajua wakenya mnadharau sana ivi kila siku kuafanya as if miji ya mogadishu na uganda ni poor by far wakati tofauti ni kidogo na miji yenu mikubwa mnapata faida gan???
Let take example mombasa imeizidi nini mogadishu zaidi ya Amani tu??
images (49).jpeg
images (47).jpeg
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ hii ndio 3 level ya kenya yesu ashuke awasaidie View attachment 1643153

alaf hii ya tanzania πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1643154
Ya Tz Juakali style 🀣no creativity,,cheki yetu venye tamu, under pass, Overpass, forked levelled roads,alot of creativity indeed πŸ‘πŸ‘πŸ”₯😍
 
Back
Top Bottom