THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Dar inakutesa sana mjomba, Wakenya mnapata shida sana kuona raia kutoka nchi za mbali wakiprefer Dar kuliko Nairobi nowadays,ask yourself why, Nairobi ni pachafu kweli kweli,wakora kibao jobless ni tatizo sasa sijui hata hiyo GDP inawasaidia nini sijajua bado,wachache tu ndo wanahodhi mali mliobaki ni utapiamlo mtupu hata basic needs ni shida,watu wako na stress kweli kweli.Poleni sana.Now your government should concentrate its efforts on Dodoma, same way Nigeria built Abuja, not your Lagos(Dar), that city will never be liberated from low life residentials filling the whole sq km by over 80%.,
enjoy kdg the scenery japo sina uhakika kama una bundle mzee baba.



