Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sunrise beach. Dar kama Dar
IMG_20201102_121355.jpg
IMG_20201102_121357.jpg
IMG_20201102_121403.jpg
IMG_20201102_121406.jpg
 
Upinzani ulikua ni lazma upigwe chini kwasababu ya mambo makubwa yaliofanyika msifanye wananchi wajinga kwamba hawana macho, watu wanabadilika na mambo yanabadilika
Kitu kingine ni kwamba kipindi cha nyuma upinzani ulipendwa sana kwa sababu walionekana ndio wazalendo na ccm ilionekana kuuza nchi kwa wazungu kwa sababu kila mtanzania alifundishwa historia kuanzia primary so wana uelewa kwenye hilo. Ila this time imekuwa vice versa, kama upinzani wasingejipendekeza kwa mabeberu yasingetokea haya yote na ndio maana ccm ilikua inawakumbusha sana watanzania kuhusu ushirika baina ya lisu na wazungu
 
Attachments

  • EkTEUc5WAAE0hjK.jpeg
    EkTEUc5WAAE0hjK.jpeg
    37.6 KB · Views: 11
  • EkbOPyqXUAEij_t.jpeg
    EkbOPyqXUAEij_t.jpeg
    110 KB · Views: 10
  • EkgPHHdXYAYoEZ1.jpeg
    EkgPHHdXYAYoEZ1.jpeg
    96.3 KB · Views: 12
  • ElJkotVX0AAfL8W.jpeg
    ElJkotVX0AAfL8W.jpeg
    85.3 KB · Views: 11
  • ElQ0iYTXYAYAhL9.jpeg
    ElQ0iYTXYAYAhL9.jpeg
    249.3 KB · Views: 12
  • EluDKJDW0AA6OeL.jpeg
    EluDKJDW0AA6OeL.jpeg
    59.1 KB · Views: 11
Kuna kitu kimoja naomba kuwauliza wadau wa jf mbona wakenya wanakomaa sana na jiwe kuwa ni dikiteta kwani ni rais wao kenya au ni rais wa tanzania kama ndo hivo jua kuwa kuna mahala walikua wanapata kitonga mwisho wa siku kitonga imegeuka kua tambarale ndo maana wanalia na jiwe
 
umeuliza swali na umejijibu jibu sahihi hapohapo
 
Kuna kitu kimoja naomba kuwauliza wadau wa jf mbona wakenya wanakomaa sana na jiwe kuwa ni dikiteta kwani ni rais wao kenya au ni rais wa tanzania kama ndo hivo jua kuwa kuna mahala walikua wanapata kitonga mwisho wa siku kitonga imegeuka kua tambarale ndo maana wanalia na jiwe
wanevumilia wameshindwa imebidi tuu wajionyeshe waziwazi
 
Hadi wanamwabudu jpm sababu ya hiyo interchange..... Imagine Uhuru amefanya project mob huku tena kubwa lakini hukuna mtu anayemsifia,yani hiyo inakuambia Kuna tofauti kubwa sana kati ya Kenya na Tz....yani Wakenya wamezoea maendeleo na tena kujengewa barabara,flyover,airport ni haki ya mwananchi wala sio bidii ya mtu fulani
Sl
Unaona hili wazo? Tayari umefanya iwe ni TEAM A VS B. Hapa ndipo mnakosa! You all can't agree to disagree!
Geza ukimskia akitoa maoni si kusema ni adui wa Tz bali ana uchungu na nchi yake inakoelekea...kulingana na msimamo wake
Sasa badala ya kumweleza inabaki ni matusi jinsi alivyo na akili za "kitoto"
Ulishaona comments za Geza akiwa amepingana naye mawazo?
 
Sisi ni vinara kwny huu ukanda wa Afrika mashariki ni kama uchaguzi tu wa US kwa dunia,Tz kama maji vile kwa E.A usipoyanywa utayaoga. Wengine wanachuki tu binafsi na kasi ya jiwe kuibadili Tanzania which is wrong,wanatakiwa kudeal na serikali yao kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi wake ni upoyoyo wa hali ya juu pale rival wako anapopata zaidi,badala utie juhudi uende mbele zaidi yake we unaplan kumchafua na kumshusha chini.Akili za kimaskini.
 
Back
Top Bottom