I smell something fishy.
hata ukismell something piggy hakuna shida [emoji23][emoji23]
I smell something fishy.
Hiyo stendi ya mbezi leo nilipita happy na demu mmoja mkenya akaniuliza wanajenga nini hapo nikamwambia hyo stendi ya mabus akagoma eti kisa Kenya hamna stendi Kama hiyo, nilipenda lakn inaonekana anaipenda nchi yake na hataki ishindweSindano za mzee ni konki...mana mnaugulia tu uko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]View attachment 1617338View attachment 1617339View attachment 1617340View attachment 1617341View attachment 1617342View attachment 1617343View attachment 1617344View attachment 1617345View attachment 1617346View attachment 1617347View attachment 1617348
Mr. Railway good name [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mr railway
Hahaha!!mbna unstupostia km we unaubavu kweli[emoji23][emoji23]Wooiiii ati wanataka battle na Tz, a market from somewhere in Kenya [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1617297
Mnaposema kasi ya ujenzi wa reli ya umeme huaga mnamaanisha nn katika zile video zenu..Sema speed ya wachina kwasababu hio ni project ya mchina na mtalipa pesa kama fee kwa wachina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
It is the only one in central and east africa,haifananishwi na chochote..Ubongo the one and only interchange in Tanzania
Kwan hujui inajengwa kwa fedha za magufuli au unafkiri ile ni ppp project😂😂😂Mnaposema kasi ya ujenzi wa reli ya umeme huaga mnamaanisha nn katika zile video zenu..
Au vile kenya ndio unatuonea donge
Komora vp hyo avatar ndiyo ww mwenyewe? Naomba niku pm tuyajenge mamaa.Hahaha!!mbna unstupostia km we unaubavu kweli[emoji23][emoji23]
Acha tukupe vitu kw ground ndio ujionee sio kuturingishia na picha za kuokota google[emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣😀😀😁 Endelea tu kuiogopa beberu,sie huku simple tu tunaiminya kiaina..ukitaka kuona sisi hapana ogopa beberu,kesho nimesikia kuna watu wanataka kuandamana,andamaneni muone tunawavunja miguu halafu tuone kama hiyo beberu yako itakusaidia..uchaguzi ushapita sasa maisha yaendelee,sio kila siku siasa tuuuuu😂😂😂😂😂😂 endelea kujigamba mabeberu yalifanya USSR ikazama angalia Venezuela, Iran etc
China walirudi mezani kudiscuss trade deal na USA upya Tanzania ni nn kwao 😂😂😂😂
Kwa hiyo lugha yako ya mama ni kiingereza??!!..Mm c mswahili najua lugha yangu ya mama kiswahili nilisoma tu ilikupita mitihani
Niambie interchange kwa kiswahili basi 😂😂😂
Yani watanzia bana, sass hyo avatar inakuhusia nnKomora vp hyo avatar ndiyo ww mwenyewe? Naomba niku pm tuyajenge mamaa.
Bwahaha!!itabidi nao standard chatered waje wadai kipande chao[emoji23][emoji23][emoji23]Kwan hujui inajengwa kwa fedha za magufuli au unafkiri ile ni ppp project[emoji23][emoji23][emoji23]
Mchina anajenga anaweka toll pale munaanza lipia 600ksh per car kwa muda wa miaka 27
Ndio namshangaa huyo Geza. Ndio maana nataka nikutane naye nione ni mtu wa namna gani.Jameni, hivi unawezaje kufurahia maendeleo ya nchi halafu ukampinga aliyefanikisha hayo maendeleo?
Fuatilia comments zake kwanza.Ndio namshangaa huyo Geza. Ndio maana nataka nikutane naye nione ni mtu wa namna gani.
Huo ni upande mmoja wa shilingi, vipi kwa upande mwingine mtu akisema hizo zote zilikuwa ni njama za upinzani kutafuta mlango wa kutokea, kwakuwa walijua hawatashinda uchaguzi.Ila hajakubaliana na mwenendo wa uchaguzi ulivyoenda... kukutwa kwa kura za mapema zikiwa tayari CCM wame tick sehemu zao, kuwazuia mawakala wa upinzani kwenye polling station, kutumia nguvu kwa wananchi na kukamata wapinzani, kule Zanzibar ndo speechless kabisa
Kama CCM ilijua itashinda kwa kishindo kwanini walifanya madudu namna hiyo!!?
Yaani wakenya hawaamini kama Tanzania ndio tayari umerudi into default na maisha yanaendelea kama kawa, Kenya baada ya uchaguzi wowote ni machafuko kwa miezi ya kutosha yanaendelea mpaka angalau wachinjane 300 ndio maisha yaendeleeKasema mwenyewe haongezi muda madarakani sasa nashangaa watu wanawasiwasiView attachment 1617466