Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fuatilia comments zake kwanza.
Yeye anamkubali Raisi wenu na yote anayoyafanya
Ila hajakubaliana na mwenendo wa uchaguzi ulivyoenda... kukutwa kwa kura za mapema zikiwa tayari CCM wame tick sehemu zao, kuwazuia mawakala wa upinzani kwenye polling station, kutumia nguvu kwa wananchi na kukamata wapinzani, kule Zanzibar ndo speechless kabisa

Kama CCM ilijua itashinda kwa kishindo kwanini walifanya madudu namna hiyo!!?
Kura mmejichapishia wenyewe kutengeneza maigizo tu hamna lolote, plan yenu hiyo imefeli
 
Fuatilia comments zake kwanza.
Yeye anamkubali Raisi wenu na yote anayoyafanya
Ila hajakubaliana na mwenendo wa uchaguzi ulivyoenda... kukutwa kwa kura za mapema zikiwa tayari CCM wame tick sehemu zao, kuwazuia mawakala wa upinzani kwenye polling station, kutumia nguvu kwa wananchi na kukamata wapinzani, kule Zanzibar ndo speechless kabisa

Kama CCM ilijua itashinda kwa kishindo kwanini walifanya madudu namna hiyo!!?
Kwanini unakuwa na akili ya kujadili nusunusu? Kwani izo kura haziwezi kuwa zimetengenezwa n n upinzani ili kuichafua ccm? Hebu tuonyesheni aliye kamatwa na hizo kuraa ?
 
Hawa wanaharakati wa twitter wamechangia pakubwa upinzani kushindwa kwenye huu uchaguzi wa mwaka huu,

Viongozi wapinzani ikiwezekana kujitenga na hao wanaharakati uchwara fanyeni hivo,

Wanaharakati uchwara wa twitter wanapotosha na unakuta nao viongozi wa upinzani wanaingia mkenge kwenye huo upotoshaji unaofanywa na hao wanaharakati uchwara,

Binafsi nilikuwa ni mwanachama wa chama kimojawapo cha upinzani tena na kadi nilikuwa nayo kabisa na ulikuwa huniambii chochote kuhusu hicho chama [emoji23][emoji23][emoji23]

Lakini upinzani walipoanza kujihusha na hawa wanaharakati uchwara waongo na wapotoshaji rasmi nilijitoa upinzani na sio mimi tu...wapo wengi kama mimi,

Sasa hivi sina chama ila namkubali JPM na ndio maana nilipiga kura ya urais tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Upinzani achaneni na hawa wanaharakati uchwara waongo na wapotoshaji.
 
Mm binafsi nilimpigia Jpm tu cz sioni kazi ya wabunge wala madiwani, niliwapigia kura 2015 wakaniangusha kwa kurudi ccm, kwangu mm hyo niliitafsiri kama tamaa ya fedha na nina rafiki yangu diwani naye pia alinasa kwenye mkumbo huo huo licha ya kutumika nguvu kubwa kuhakikisha anashinda udiwani so tangu hapo nikasema hakuna upinzani Tz.

Ikumbukwe kwamba mimi co mpinzani lkn pia co ccm mpumbavu nikiona ujinga sikupigii kura na ndiyo maana hata Jpm hakupata kura yangu 2015 but mwaka huu nilikuwepo kituoni kuhakikisha simuangushi jembe Jpm.

Ukweli ni kwamba ccm imeshinda kihalali kabisa mana nilikuwepo kwenye kuhesabu kura kituo fulani yn utakuta mtu wa Chadema anapigia kura mbunge na diwani wa cdm ila rais ni Jpm na pia wapo cdm wengine wamepigia ccm kuanzia diwani mbunge mpk rais.

Nilishangaa mpk mawakala wa upinzani wanasema wazi wazi kwamba kura zao ni kwa Jpm, mm co mnafki na cwezi kuongopa huo ndiyo ukweli mawakala tulikuwa nao pale mda wote mmoja wa cuf mwanamke anasema kabisa hawezi kumuangusha mwanaye ambaye ndiyo kwanza yupo chekechea kwa kukosea kuchagua japo yeye ni upinzani, ss hapo unajenga taswira gn? Wapinzani km mnabisha endeleeni kubisha ila kiukweli kabisa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki na ndiyo maana wananchi wameridhika kabisa tofauti na 2015 ambapo kelele zilikuwa nyingi.

Mtu akiniambia ccm ilifanya jambo lake 2015 ntakubaliana naye kwa 100% lkn co mwaka huu ilikuwa wazi kabisa.
 
hizi ndege naona nazo zimeandikwa
IMG_1604295246.074304.jpg
 
Tutazidiwa na nchi zilizoendelea lkn co failed state, hakuna kitu tunazidiwa na failed state ila cc ndio tunawazd wao ktk angles nyingi sana atokee mkunya anipe view km hii from kunyaland[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1591123797865.jpeg
tapatalk_1591123791387.jpeg
 
Back
Top Bottom