Kalale maana unaota!!!Hakuna kitu ka hiyo.....kaka, wakati mwingine ni bora kunyamaza tu kuliko kuonyesha upumbavu wako wa ndani ambao wengine hatukuutegemea!!! Ogopa sana mtandao maana hata kizazi chako kitakuja kukuona mpumbavu uliye na chuki pasipo na sababu,unazungumza vitu kama mlevi tu asiye na staha.Think positive ni nzuri pia kwa afya yako.Mtapigwa sanctions kama Sudan ndio mfyate midomo zenu kubwa. Mtashindwa hata kuomba loan ya miradi yenu. Wakati bei ya mkate na unga utaanza kupanda kama ulivyofanyika Sudan ndio mtajua athari ya sanctions. Kwa sasa mjipige kifua tu. Ulizeni Zimbabwe sanctions zina athari gani.
Ukiona mtu ameanza matusi basi jua ameshindwa kudebate. Ameshindwa kutoa hoja. Huna hoja ndio maana unaanza matusi.Kalale maana unaota!!!Hakuna kitu ka hiyo.....kaka, wakati mwingine ni bora kunyamaza tu kuliko kuonyesha upumbavu wako wa ndani ambao wengine hatukuutegemea!!! Ogopa sana mtandao maana hata kizazi chako kitakuja kukuona mpumbavu uliye na chuki pasipo na sababu,unazungumza vitu kama mlevi tu asiye na staha.Think positive ni nzuri pia kwa afya yako.
Ingelikuwa ndo kwnz tunamjaribu hapo sawa lkn mtu amesha prove tuwe na wasi wasi wa nn.Tanzania hatuwezi kupigwa sanction tumuombe mungu uyu mzee MAGUFULI awe na nia njema alete tu maendeleo na uchumi kwasababu yeye ameshika mpini anaweza fanya chochote na hatuna cha kufanya kutokana na katiba yetu..
Nakupa makavu huku nikikuelemisha malizaneni na sanction yenu ya Corona ndo urudi hapa tuongee maana naona mnaingia kwny duru ya pili.Such a ujinga.Ukiona mtu ameanza matusi basi jua ameshindwa kudebate. Ameshindwa kutoa hoja. Huna hoja ndio maana unaanza matusi.
Inakaa yale mapipa ya duara (chama) yaliyokuwa yanatumika kuhifadhi kahawa zamani. [emoji23][emoji23][emoji23]A market from somewhere in Kenya [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1617292
Tatizo kubwa kwetu sisi hua tunaamini kua upinzani ukishindwa basi umeonewa sasa inanaana upinzani hautakiwi kushindwa au?? Kwann tunajiekea fikra hzo na ilikua lazma upinzani ushindwe mwaka huu kwasbabu ya mambo makubwa yaliofanyiwa na magufuliHii ni mara yako ya ngapi kupiga kura??
ichoboy01
Inawezekana kutokakana unavoongea ikawa kma mara ya pili au ya tatu...
Uchaguzi wa mwaka huu sio hata wa kubishana kuhusu haki au sio wa haki ni inshu ya kunyamaza tu.. ila kama tukiongelea uhalali ni AIBU!!!
Chamsingi sio vitu vya kuongelea kwenye uzi huu.
Sanction zitoke kwa nani??? Tupigwe sanctions kisa upinzani umeshindwa au??Humu ndani kuna watu wanafuata mkumbo hawajui haki ni nn! Mie nawaangalia tu! tupigwe kwanza sanctions halafu tutapata akili!
Well I know about USA electoral collegeWell, ndo maana nikakwambia ni relative, jinsi unavyooangalia, hata USA pia hizo Institutions siyo independent kihivyo kama mnavyofikiria kwani inategemea na Chama gani kina power wakati huo, kwa mfano supreme court ya USA maamuzi yake yanategemea na Majaji ya Chama gani kina majority, mfano sasa hivi Supreme court ina jumla ya majaji 9, 6 ni wa republicans na 3 ni democrats hivyo Uraisi wa USA unaokuja kama Supreme Court ndiyo itaamua basi 100% Raisi ni D.Trump tena, kwani Majaji 6 ni rep. party wakipiga kura watashinda, huo ni mfano wa mambo mengi sana kuhusu US system, kwa kifupi USA siyo democratic kama mnavyodhania, Raisi wa USA anachaguliwa na watu kama 538 tu na siyo Mamilioni ya wamarekani wote wanaokwenda kupiga kura, kama unauelewa vizuri mfumo wa USA.
Isitoshe hata Raisi Magufuli hawezi kufanya chochote anachotaka kama mnavyofikiria ni lazima awe na support ya CCM, mfano Uchaguzi wa mwaka 2015 uliomuingiza Raisi Magufuli, Magufuli hakuwa chaguo la kwanza la Raisi Kikwete, kwa maana nyingine Raisi Kikwete alikuwa na mtu wake aliyemtaka lkn alishindwa kumlazisha kupita kwenye Kikao cha Chama, sasa kwa nini kama Raisi wa Tanzania wanaweza kufanya anavyotaka?