Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ili uwe na demokrasia ya kweli pamoja na mengine yote.. Lazima uwe na watu "Wazalendo wa kweli" watakao simama kuitetea kweli misingi ya demokrasia hiyo.... Haijawahi kutokea duniani na haitokaa itokee kuwa na Wazalendo Masikini.

Vitabu vya dini vyenyewe vinatoa ruksa kuiba au kuvunja sheria za dini kupoza njaa.

Tujikwamue kwanza kisha tugeukie demokrasia.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nashukuru sana kwa kunielewa mkuu, ni kwamba hata Maraisi wetu tunapaswa kuwalipa mishahara mikubwa pengine kuliko hata marais wa mabeberu ili wawe wazalendo na mali zetu, unajua tatizo letu waafrika tumeharibiwa na hii elimu yetu ya darasani eti utakuta mtu msomi wa Phd anahubiri demokrasia wkt hata yeye mwenyewe haiwezi hyo demokrasia.

Hao walioianzisha tu hawaiwezi itakuwaje cc waafrika? Kwa jicho langu la mbali natamani ifike wakati WaTz tuamue kuwa na huyu rais kwa muda mrefu japo miaka 30 hv na tumlipe mshahara mkubwa zen atusafishie hii nchi cz haya mambo ya kupoteza zaidi ya bilioni 300 kila baada ya miaka 5 kwa kisingizio cha demokrasia ni upuuzi mtupu.

Angalia hzo pesa tulizopoteza kwa ajili ya uchaguzi wakati kila mtu alijua kwamba nn kitatokea je zingetengeneza barabara za urefu wa kilomita ngp? Km tungesema tununue dawa zingekuwa tani ngp? Je tungeokoa WaTz wangapi ambao wamekufa kwa kukosa dawa?

Tufungue macho waafrika tupambane na njaa kwnz km wao walivyopambana zen waliposhiba ndpo wakaingiza hyo demokrasia kwamba kila mtu ana haki ya kuwa raisi, but kuanza kuingiza demokrasia wkt tuna njaa haiwezekani narudia tena haiwezekani cz demokrasia haiwezi ku operate kwenye njaa.
 
Utakuta lijitu limekaa na ndevu zake linadhani tindu lissu angeweza kuwa raisi,kamwe haitakaa itokee
Mm kitu kinaniuma ni kumkosa Lissu kwenye taaluma yake lkn co kwenye uraisi hatoshi, yn kwa kifupi Lissu hawezi kuwa raisi wa Tanzania wkt Jpm yupo cz japokuwa Lissu ni genius but Jpm ni genius zaidi yake so asubiri Jpm amalize mda wake ndo naye ajaribu bahati yake, tatizo linakuja kwamba watz tunamuona co mzalendo yn hatuna imani naye tena kwa ss.
 
Nashukuru sana kwa kunielewa mkuu, ni kwamba hata Maraisi wetu tunapaswa kuwalipa mishahara mikubwa pengine kuliko hata marais wa mabeberu ili wawe wazalendo na mali zetu, unajua tatizo letu waafrika tumeharibiwa na hii elimu yetu ya darasani eti utakuta mtu msomi wa Phd anahubiri demokrasia wkt hata yeye mwenyewe haiwezi hyo demokrasia.

Hao walioianzisha tu hawaiwezi itakuwaje cc waafrika? Kwa jicho langu la mbali natamani ifike wakati WaTz tuamue kuwa na huyu rais kwa muda mrefu japo miaka 30 hv na tumlipe mshahara mkubwa zen atusafishie hii nchi cz haya mambo ya kupoteza zaidi ya bilioni 300 kila baada ya miaka 5 kwa kisingizio cha demokrasia ni upuuzi mtupu.

Angalia hzo pesa tulizopoteza kwa ajili ya uchaguzi wakati kila mtu alijua kwamba nn kitatokea je zingetengeneza barabara za urefu wa kilomita ngp? Km tungesema tununue dawa zingekuwa tani ngp? Je tungeokoa WaTz wangapi ambao wamekufa kwa kukosa dawa?

Tufungue macho waafrika tupambane na njaa kwnz km wao walivyopambana zen waliposhiba ndpo wakaingiza hyo demokrasia kwamba kila mtu ana haki ya kuwa raisi, but kuanza kuingiza demokrasia wkt tuna njaa haiwezekani narudia tena haiwezekani cz demokrasia haiwezi ku operate kwenye njaa.
Ni very tricky namna ya kuiweka hii..

Kwanza kuna shida ya matabaka... Walionacho na wasionacho. Hii imeangusha tawala nyingi na kubwa katika historia ya ulimwengu.

Demokrasia ni kilele kabisa cha tawala zilizofanikiwa zaidi... Dhana ya uhuru inakuja tu pale tunapotaka kutumia lakini unapokuja kwenye kutafuta hakuna demokrasia..maana utafutaji lazima uwe na elements za kujitoa.

Kutumia hakuna kipimo na ndio maana tunakuwa na uhuru.. ukiweka chapati mezani kunakuwa na uhuru wa kuchagua nile nusu, nile tano au tagawana moja moja kulingana na walengwa. Mtoto hawezi lazimishwa kula chapati tatu..sawa na mtu mzima.. ila kama ni watoto wote na hazitoshi tunaweza kuja na namna sahihi ya kugawana. Japo haya yote lazima kuwe na kuheshimu makubaliano kunakotoka ndani ya moyo. Uzalendo.

Kwenye Kutafuta inakuwa tofauti kidogo... Nature ya mwadamu inadhihirika kwa uwazi. Ubinafsi... Hakuna mwanadamu anapenda kuumia kwa ajili ya wengine.. na kwa sababu hii "Kafara ya Yesu Kristu" inakuwa na uzito kwetu.

Utafutaji ndio msingi wa mafanikio ya Taifa.. Nidhamu ya matumizi ndio kilele cha njia ya kuimarisha mafanikio.. hulka ya mwadamu ya kujipenda zaidi lazima ichungwe. Na hakuna njia ya kirafiki kwenye hilo.. kutakuwa na malengo na mnyapara wa kukunyoosheni kuyafikia.

Sisi tuna Rais Mkali (kiongozi haswa) Marekani wana mfumo mkali sote tunapata adha ile ile.. utofauti wetu na wao sisi kuna mwanya wa kuweka ubinadamu ndani ya mtu.. ila ni kazi kuufanya mfumo uwe wa kibinaadamu.

Hapa tulipo ni mahali sahihi... Tunachopaswa na kujenga Hybrid itakayojengwa juu ya uongozi wenye utu na ubinadamu na mifumo ya kitaasisi wezeshi.. ili kuupa tija zaidi mfumo wetu wa kujitawala... Na siku moja tuweze kuwapelekea ndugu zetu barani kote Afrika na ulimwenguni.

Kuwa na chaguzi ni muhimu... Ila nadhani ni bora tungekuwa na sera ya kitaifa ya maendeleo ya miaka 20/30&50 kisha vyama vikachuana juu ya namna bora ya kutekeleza... Implementation strategies.. uzuri wake sera zinaweza kuwa sehemu ya.mihula ili watu wazijue ndani nje.. na waweze kupima ni nani ana njia.bora ya kutekeleza. (Mawazo yangu binafsi)

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wacha kutapatapa ww weka interchanges za Tanzania mm nitaweka za kenya mbna uweke za kenya ww c mkenya
Kama uko tayari anza Kama unataka pia flyover pia Sema
Kiswahili ni shida kwako ...nimesema niweke hapa interchanges za kenya ...ila sio flyovers...huwez acha
 
endelea kujidanganya! Tanzania ikipigwa ban ya kuto-export US and EU, tumekwisha Zimbabwe inafanya biashara na China zaidi ya mwaka wa kumi na hawajaweza kujikwamua kwenye hali mbaya ya uchumi! Mchina alijeuka kuwa mnyonyaji baada ya kung'amua yeye pekee ndio soko la Zimbabwe. Hata hizi nchi za jirani tunazofanya nazo biashara zitajeka mabeberu!
We Geza nimegundua unamawazo ya kitoto sana.
Either huna exposure au huijui Tanzania vizuri wewe.

Kwanza EU never ever do sanction to Tanzania. Na wanajua wakifanya hivyo tayari China itaongeza business Africa.

Tanza has influence kwenye nchi nyingi barani Africa.

Nadhani wewe umezaliwa miaka ya 90s or 2020s

Nimefuatilia kwa ukaribu sana comments zako, zimejaa utoto mwingi.
Bahati nzuri kuna jamaa yangu anakujua, nitamuomba anikutanishe na wewe Vila wewe kujua nikuone physically na kujadiliana na wewe nione uwezo wako wa kujua mambo.

Ni hayo tu.
 
Mkuu, Mbona hilo darasa usimpe tu apa pia kwa manufaa ya wengine wetu?
Tatizo mnamsulubu Geza Ulole kwa kuwa na mawazo tofauti na yenu hii inazidi kudhihirisha jinsi tolerance haimo Tz!
 
🙂
Sio kwamba Geza Ulole amesulubiwa kwa kusemea kwenye Jukwaa hili tuu!? Maana watanzania tuna sifa ya uungwana. Uungwana lazima uzaliwe penye mikwaruzo, tofauti na majibizano.... na penye tofauti au majibizano lazima kuwe na pande mbili na zaidi..

Mke hapigwi barazani... Kaka! Nina uhakika Geza angeyasemea haya kwenye jukwaa jingine lolote kwenye hoja mchanganyiko kusingekuwa na backlash.

Nilichojifunza, kizuri; watanzania wengi wanaipenda nchi yao. Despite the differences.. wanalinda image yake kwa nguvu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, Mbona hilo darasa usimpe tu apa pia kwa manufaa ya wengine wetu?
Tatizo mnamsulubu Geza Ulole kwa kuwa na mawazo tofauti na yenu hii inazidi kudhihirisha jinsi tolerance haimo Tz!
Kuna mawazo na upotoshaji ni vitu viwili tofauti.

Kama hujui kitu na kujifanya unakijua basi watu husema wewe ni MPUMBAVU.

Tanzania imekuwepo tangu na tangu. Tanzania ina historia kubwa na kuna mambo mengi mmno.

Sasa mtu anaungana na watu wasio ijua Tanzania na mupotosha umma tutamwitaje!?

Mtu anajifanya kujua huku hajui chochote ni upumbavu uliovuka mpaka.

Sasa kwa mawazo yake anafikiria Tundu Lissu angeshinda!?
Je, Tundu Lissu jimbo lake pekee limemshinda kila kumicha kutafuta umaarufu, na kuacha kuwatumikia wananchi waliomchagua, atawazeza kuongoza nchi!?

Anakuja na vimawazo vya kitoto.
 
We Geza nimegundua unamawazo ya kitoto sana.
Either huna exposure au huijui Tanzania vizuri wewe.

Kwanza EU never ever do sanction to Tanzania. Na wanajua wakifanya hivyo tayari China itaongeza business Africa.

Tanza has influence kwenye nchi nyingi barani Africa.

Nadhani wewe umezaliwa miaka ya 90s or 2020s

Nimefuatilia kwa ukaribu sana comments zako, zimejaa utoto mwingi.
Bahati nzuri kuna jamaa yangu anakujua, nitamuomba anikutanishe na wewe Vila wewe kujua nikuone physically na kujadiliana na wewe nione uwezo wako wa kujua mambo.

Ni hayo tu.
Naona kwa mbaalii Geza anaenda kuwa against na cc [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unaona hili wazo? Tayari umefanya iwe ni TEAM A VS B. Hapa ndipo mnakosa! You all can't agree to disagree!
Geza ukimskia akitoa maoni si kusema ni adui wa Tz bali ana uchungu na nchi yake inakoelekea...kulingana na msimamo wake
Sasa badala ya kumweleza inabaki ni matusi jinsi alivyo na akili za "kitoto"
 
We Geza nimegundua unamawazo ya kitoto sana.
Either huna exposure au huijui Tanzania vizuri wewe.

Kwanza EU never ever do sanction to Tanzania. Na wanajua wakifanya hivyo tayari China itaongeza business Africa.

Tanza has influence kwenye nchi nyingi barani Africa.

Nadhani wewe umezaliwa miaka ya 90s or 2020s

Nimefuatilia kwa ukaribu sana comments zako, zimejaa utoto mwingi.
Bahati nzuri kuna jamaa yangu anakujua, nitamuomba anikutanishe na wewe Vila wewe kujua nikuone physically na kujadiliana na wewe nione uwezo wako wa kujua mambo.

Ni hayo tu.
Kwani Zimbabwe wanafanya biashara na nani sasa? baada ya sanctions za the US n the EU? Na hali yao ikoje? Na Sudan kipindi cha Bashir je? Who was Sudan'so sole remaining trade partner?

Mzee, Afadhali mimi nina utoto naelewa implications za sanctions za hawa mabwana wakuu wawili!
 
1. Tanzania imekuwepo tangu na tangu maana yake nini nn????
Tangu na tangu ni 1964, kupigwa sunction alipigwa russia ambae ndio yuko tangu na tangu sio ww wa 64.

2.upumbavu sio kutokujua kitu na ukajifanya unajua HAPANA. Bali kamusi ya kiswahili inasema mpumbavu ni mtu anayeshindwa kuelewa jambo hata anapoelekezwa...
(ii) mtu ambae hayupo teyari kuelewa kitu. Juha, zuzu, jura

3.Hakuna mtu ambae anataka tundulisu ashinde bali watu wanakosoa mwenendo wa uchaguzi ulivofanyika so nadhani kitu hamjapenda ni mawazo mbadala ambayo hayaendani na yenu, ambacho ndo kitu kilichopelekea leo bunge kuwa la chama kimoja. Naona kama hii ndo inaenda kuwa asili ya watanzania kumpiga na kumtukana kumdhalilisha mtu ambae anamawazo mbadala.

Unaita utoto na kukadiria watu miaka waliozaliwa unafikiri kuzaliwa zamani ndio kuwa na akili na busara mfano jiangalie tu mwenywe utapata majibu!!!

All in all Tanzania hatuwezi kupata sunction na (hata mimi sitaki wala sipendi itokee kwasababu mambo ya ndani tuyasolve wenywe sio tusaidiwe kosolve) lakini sababu sio kwamba sisi ni wakubwa sana na tupo tangu na tangu. ila sababu hakuna critical evidence ya uvunjaji wa haki za binadamu pamoja na viashilia vyovyote vya kutokukosekana kwa amani so serikali au viongozi hawawezi kuwa accountable na tatizo ambalo halipo labda ikitokea mandamano makubwa afu watu wakapigwa wakauliwa hapo kunaweza kutokea kitu...

Mawazo yako ulioandika ni ya kipuuzi na hayaakisi maneno yako ya kikutana na mtu ili umuelimishe. Sioni kama unaelimu ya kumpa mtu.

Back
Top Bottom