sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,548
- 2,448
Hadi wanamwabudu jpm sababu ya hiyo interchange..... Imagine Uhuru amefanya project mob huku tena kubwa lakini hukuna mtu anayemsifia,yani hiyo inakuambia Kuna tofauti kubwa sana kati ya Kenya na Tz....yani Wakenya wamezoea maendeleo na tena kujengewa barabara,flyover,airport ni haki ya mwananchi wala sio bidii ya mtu fulaniTanzania wanainterchange moja pekee halafu wanataka kubishana na Kenya wabwege sana

