Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo kubwa kwetu sisi hua tunaamini kua upinzani ukishindwa basi umeonewa sasa inanaana upinzani hautakiwi kushindwa au?? Kwann tunajiekea fikra hzo na ilikua lazma upinzani ushindwe mwaka huu kwasbabu ya mambo makubwa yaliofanyiwa na magufuli

au nyinyi hamujui kama upinzani hupata nguvu endapo serekali iki fail kutekeleza majukumu yake???
Basi mkuu inatosha unajua Wakenya wanafurahia hii migongano ya kifikra baina yetu cz ndoto zao ni kuona tunafarakana km wao ila wamenoa cz WaTz hatunaga kinyongo, tuendeleze dozi wakuu.
 
Mimi ndhani uchaguzi haukua wa haki hata kidogo..

lakini siamini kama international organization zinatakiwa ku-act kivyovyote kuhusu nchi yetu na sio haki yao kuingilia mambo yetu..

Kama kuna injustice yoyote imeonekana hakuna uthibitisho unaweza kupatikana kwasababu Tume ilijipanga na walijua kinachoenda kufanyika..

Hizo picha na video zinazozunguka hazitoshi kuwa ushahidi..

International communities zinaweza kuingilia kama raia wame act kupinga au kuandamana kwa ukubwa na wakapigwa na kuuliwa ila kama mambo yapo nomal hakuna kitu kitatoke hakuna hata sunction yoyote...

Upinzani warudishe majeshi nyuma wajiandae 2025 kuwe na katiba Mpya.
Upinzani ulikua ni lazma upigwe chini kwasababu ya mambo makubwa yaliofanyika msifanye wananchi wajinga kwamba hawana macho, watu wanabadilika na mambo yanabadilika
 
Well I know about USA electoral college
Remember the FBI investigated Trump friends and prosecuted them and some are in jail can security services in Tanzania do the same

Unafanya makosa yaleyale, siyo USA vs Tanzania yetu, kila nchi ni tofauti kulingana na Historia yake, isitoshe USA Historia yake ipo kuanziia 16th Century huko vs Tanzania yetu mwaka 1961 unawezaje kulinganisha?
Ni nchi mbili tofauti zenye Historia na tamaduni tofauti, ...
 
Sie mabeberu hatuyaogopi,tutayafinya tu..sisi sio kama nyie hunyenyekea beberu,tena ikibidi tuwe na chama kimoja tu,demokrasia ni ujinga tu
😂😂😂😂😂😂 endelea kujigamba mabeberu yalifanya USSR ikazama angalia Venezuela, Iran etc
China walirudi mezani kudiscuss trade deal na USA upya Tanzania ni nn kwao 😂😂😂😂
 
Tanzania haiwezi kupigwa hiyo ban sababu wazungu wenye mashamba ya maua wataumia na wamekopa huko ulaya so hawawezi kufanya huo upuuzi, pia makampuni yao ya madini yatafilisika kwanza kabla wachimbaji wadogo wanaotegemea soko la Dubai na Qatar hawajaguswa na hiyo ban

Zimbabwe walifanya hivyo sababu hakukua na company yoyote ya mzungu iliokua ikiexport kutokana na Mugabe kutaifishwa kila kitu cha mzungu.
Venezuela ilipigwa sanctions na iko mafuta mengi sasa mashamba ni nn bwege Sana 😂😂😂😂
 
Kisutu market U/C, leo nawagonga na market tu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-11-01-19-07-54.jpeg
Screenshot_2020-11-01-19-08-15.jpeg
 
Kiswahili ni shida kwako ...nimesema niweke hapa interchanges za kenya ...ila sio flyovers...huwez acha
Mm c mswahili najua lugha yangu ya mama kiswahili nilisoma tu ilikupita mitihani
Niambie interchange kwa kiswahili basi 😂😂😂
 
Unafanya makosa yaleyale, siyo USA vs Tanzania yetu, kila nchi ni tofauti kulingana na Historia yake, isitoshe USA Historia yake ipo kuanziia 16th Century huko vs Tanzania yetu mwaka 1961 unawezaje kulinganisha?
Ni nchi mbili tofauti zenye Historia na tamaduni tofauti, ...
Ndio maana nasema munaekelea dictatorship
 
NYIE MACCM MUMEIBA KURA ZA WANANCHI ILI JIWE LIENDELEE KUTEKELEZA MADUDU YAKE!! NASEMA HIVI KWA DHAMBI MLIZOFANYA KWENYE HUU UCHAGUZI, MUMELIINGIZA TAIFA KWENYE LAANA MAANA MIOYO YA WATANZANIA WENGI IMENUNG'UNIKA.
HIVYO HII MIAKA MITANO HUYU JIWE PAMOJA NA SERIKALI YAKE HAWATOFANYA LOLOTE LA MAANA ZAIDI YA KUJILIMBIKIZIA MALI NA UTAJIRI. HIVYO MIJI KAMA DAR, MWANZA TUTEGEMEE IKIPATA ATHARI ZA MOJA KWA MOJA...
HIVYO NDOTO YA KUJA KUIPIKÙ NAIROBI ITAKUWA ISHAKUFA.
WATANZANIA TUFANYE MAOMBI YA TOBA ILI MUNGU ASIRUHUSU HII ADHABU.
Inaonesha magufuli anakuumiza sana kichwa chako 😂😂😂😂😂
 
Venezuela ilipigwa sanctions na iko mafuta mengi sasa mashamba ni nn bwege Sana 😂😂😂😂
Wewe ni mpumbavu unalinganisha Venezuela na Tanzania? History ya uhasama wa Venezuela na Marekani unalijua wewe? Collo nilijua kadri unavyobadili hizi ID na akili inaenda ikibadilika kumbe inaenda ikioza
 
Back
Top Bottom