Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ccm bungeni always wamekua na viti vingi kuliko chama chochote, ilikua na haja gani mpaka CCM washinde viti vyote ndio wafanikishe hilo jambo? Kwani isingewezekana kufnya hilo wakiwa wapinzani?
Kupitisha sheria yoyote akidi ya idadi ya NDIYO ilitosha kufanya kubadili sheria hata kama ilikua mbovu
ILA
kwa katiba ilikua ngumu kubadili kwakua akidi inayohitajika ilikua haitoshelezi

Kwahiyo, kwasasa wataweza kwani CCM wapo 98% ya wabunge wote... Katiba tupa kule, no term limit kwa president.... Atawale mpaka afie hapohapo Chamwino....
 
Siulisem iko moja...umechange gia angani...nyie ndio mnaita mpka flyover interchange niweke hapa interchanges zote za kenya plz note sio flyovers....
Wacha kutapatapa ww weka interchanges za Tanzania mm nitaweka za kenya mbna uweke za kenya ww c mkenya
Kama uko tayari anza Kama unataka pia flyover pia Sema
 
C relative Trump ni dictator pia lkni hawezi fanya kenye anataka USA Kwasababu ya strong independent institutions magufuli ni dictator anafanya Kenye anataka Tanzania hakuna cha kumuzuia

Well, ndo maana nikakwambia ni relative, jinsi unavyooangalia, hata USA pia hizo Institutions siyo independent kihivyo kama mnavyofikiria kwani inategemea na Chama gani kina power wakati huo, kwa mfano supreme court ya USA maamuzi yake yanategemea na Majaji ya Chama gani kina majority, mfano sasa hivi Supreme court ina jumla ya majaji 9, 6 ni wa republicans na 3 ni democrats hivyo Uraisi wa USA unaokuja kama Supreme Court ndiyo itaamua basi 100% Raisi ni D.Trump tena, kwani Majaji 6 ni rep. party wakipiga kura watashinda, huo ni mfano wa mambo mengi sana kuhusu US system, kwa kifupi USA siyo democratic kama mnavyodhania, Raisi wa USA anachaguliwa na watu kama 538 tu na siyo Mamilioni ya wamarekani wote wanaokwenda kupiga kura, kama unauelewa vizuri mfumo wa USA.
Isitoshe hata Raisi Magufuli hawezi kufanya chochote anachotaka kama mnavyofikiria ni lazima awe na support ya CCM, mfano Uchaguzi wa mwaka 2015 uliomuingiza Raisi Magufuli, Magufuli hakuwa chaguo la kwanza la Raisi Kikwete, kwa maana nyingine Raisi Kikwete alikuwa na mtu wake aliyemtaka lkn alishindwa kumlazisha kupita kwenye Kikao cha Chama, sasa kwa nini kama Raisi wa Tanzania wanaweza kufanya anavyotaka?
 
Hata Kikwete hakuwa chaguo la Mkapa lkn alipita, ss km Rais ana uwezo wa kila kitu mbn alishindwa kuzuia hilo?
 
Uhuru hana option. Tanzania is one of our largest trading partners. Hata mkifanya upuzi upi bado atampongeza tu mshindi kwa sababu anajaribu kulinda maslahi ya Kenya. Nyie lazima muendelee kununua bidhaa zetu kwa hivyo lazima Uhuru afumbe macho ila wazungu hawana unafiki huo. Ngojeeni kiboko cha mabeberu. Itashuka hivi karibuni kwenye migongo zenu.
Sie mabeberu hatuyaogopi,tutayafinya tu..sisi sio kama nyie hunyenyekea beberu,tena ikibidi tuwe na chama kimoja tu,demokrasia ni ujinga tu
 
endelea kujidanganya! Tanzania ikipigwa ban ya kuto-export US and EU, tumekwisha Zimbabwe inafanya biashara na China zaidi ya mwaka wa kumi na hawajaweza kujikwamua kwenye hali mbaya ya uchumi! Mchina alijeuka kuwa mnyonyaji baada ya kung'amua yeye pekee ndio soko la Zimbabwe. Hata hizi nchi za jirani tunazofanya nazo biashara zitajeka mabeberu!
Tanzania haiwezi kupigwa hiyo ban sababu wazungu wenye mashamba ya maua wataumia na wamekopa huko ulaya so hawawezi kufanya huo upuuzi, pia makampuni yao ya madini yatafilisika kwanza kabla wachimbaji wadogo wanaotegemea soko la Dubai na Qatar hawajaguswa na hiyo ban

Zimbabwe walifanya hivyo sababu hakukua na company yoyote ya mzungu iliokua ikiexport kutokana na Mugabe kutaifishwa kila kitu cha mzungu.
 
Mtapigwa sanctions kama Sudan ndio mfyate midomo zenu kubwa. Mtashindwa hata kuomba loan ya miradi yenu. Wakati bei ya mkate na unga utaanza kupanda kama ulivyofanyika Sudan ndio mtajua athari ya sanctions. Kwa sasa mjipige kifua tu. Ulizeni Zimbabwe sanctions zina athari gani.
Tony 254 wazungu ni washenzi sana..man..waon wanaangalia mfuko wao unakula wapi..unahusu they mean democracy ..they mean business man..marekani yenyewe unahisi ina demokrasia sana..mchezo wa kuigiza tu ule...

About sanctions..Russia alipigwa ,Iran amepigwa..its like this it does not matter what political party runs a country..wakitaka Gas au Mafuta na ww ukajifanya unapenda nchi yako hutaki waionee wanakimbilia sactions..so would you love africa to be like that...

Mnaamini media zao zote kila kitu zinachosema...mnamini ukweli..who owns those media ..wao wenyewe.

Kama walitufanya slaves..for years unahisi watoto wao wamebadilika wanatupenda sana ety?

Ndo maana gaddafi alitaka Africa iungane iwe nchi moja ...ili tuwe na freedom na choices na power ya ukweli
 
Nchi zetu maskini hazihitaji demokrasia mpk njaa iishe.
Ili uwe na demokrasia ya kweli pamoja na mengine yote.. Lazima uwe na watu "Wazalendo wa kweli" watakao simama kuitetea kweli misingi ya demokrasia hiyo.... Haijawahi kutokea duniani na haitokaa itokee kuwa na Wazalendo Masikini.

Vitabu vya dini vyenyewe vinatoa ruksa kuiba au kuvunja sheria za dini kupoza njaa.

Tujikwamue kwanza kisha tugeukie demokrasia.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom