NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,386
- 17,968
Ila ni sehemu ndogo tu, sio kama Dar 70% ni shacks.Ha kumbe na Mombasa ina sharks naona hapa bottom left baada ya daraja!
![]()
Ila ni sehemu ndogo tu, sio kama Dar 70% ni shacks.Ha kumbe na Mombasa ina sharks naona hapa bottom left baada ya daraja!
![]()
tatizo lako mbishi.. hio video niliwahi kuona kitambo.. huyo mtu alifumaniwaga!
tuseme umeshinda..
never geza hili nakuhakikishia asilimia zote hakuna udanganyifu kabisa na uchaguzi huu ulikua huru na wa haki na utaamini maneno yangupia kuna janga ya ku-switch majina na vituo ushenzi huo haukufanyika Dar as such nenda mikoani uambiwe!
Umetoka kuzurula Google. ...mzee si utazeekea hukoHa kumbe na Mombasa ina sharks naona hapa bottom left baada ya daraja!
![]()
Mshaanza kupiga ramli na kushikana uchawi sasa... hehe yule hasimu wake Joto wa hapa ndio mkenya...huyu Geza ni wa hapo kuvuka west....Achana naye huyo jamaa ni Mkenya/Mjaluo hivyo hana mapenzi yoyote na Tanzania yetu, ukimuona hapa alikuwa anawanga Wakenya ni kwa sababu ya Raila, siyo kwamba hapendi Kenya kwao, bali ni kwa sababu ya Ujaluo wake hawapendi Wakikuyu, lkn ni Mkenya 100% umeona sasa makucha yake, next time kuweni waangalifu sana na watu wenye ndimi mbili, he is a two faced nigga, ...
kama wewe unavyozeeka ukifuatilia post zangu! Nina uhakika ukiingia JF cha kwanza ni kutafuta Geza Ulole ka-post nn! naskia hii slum inaitwa Bangladesh!Umetoka kuzurula Google. ...mzee si utazeekea huko
Hiyo ni base ya wavuvi flani wa zile makeshift boats zenye haziwezi stahimili mawimbi, the area is calm., hawaendi dip sea., wanatua pale na kuuza, mateja pia wako, njoo nikupeleke unywe supu ya pweza😂Ha kumbe na Mombasa ina sharks naona hapa bottom left baada ya daraja!
![]()
Bangladesh iko on your way kabla ya Njomvu., pale ni kwa wenyewe! Warambwa mchana peupe😂😂😂kama wewe unavyozeeka ukifuatilia post zangu! Nina uhakika ukiingia JF cha kwanza ni kutafuta Geza Ulole ka-post nn! naskia hii slum inaitwa Bangladesh!
Hii ni mara yako ya ngapi kupiga kura??geza mm nakukatalia kwa asilimia 100 nimekua mhudhuriaji sana wakupiga kura ila awamu hii upigaji kura ulikua very open na hata uhesabu wa kura ulikua open eti wanazusha mawakala waliotolewa huo ni uongo mkubwa sana hakuna wakala alietolewa wa chama pinzani na sahihi zao zipo kila kituo hata kabla ya kufungu sanduku halifunguliwi mpaka mawakala wote wawepo na kukubali na wanasaini mm nimeshuhudia kwa macho yangu
Hii ni mara yako ya ngapi kupiga kura??
ichoboy01
Inawezekana kutokakana unavoongea ikawa kma mara ya pili au ya tatu...
Uchaguzi wa mwaka huu sio hata wa kubishana kuhusu haki au sio wa haki ni inshu ya kunyamaza tu.. ila kama tukiongelea uhalali ni AIBU!!!
Chamsingi sio vitu vya kuongelea kwenye uzi huu.
Humu ndani kuna watu wanafuata mkumbo hawajui haki ni nn! Mie nawaangalia tu! tupigwe kwanza sanctions halafu tutapata akili!Hii ni mara yako ya ngapi kupiga kura??
ichoboy01
Inawezekana kutokakana unavoongea ikawa kma mara ya pili au ya tatu...
Uchaguzi wa mwaka huu sio hata wa kubishana kuhusu haki au sio wa haki ni inshu ya kunyamaza tu.. ila kama tukiongelea uhalali ni AIBU!!!
Chamsingi sio vitu vya kuongelea kwenye uzi huu.
aibu kwa wasaliti na mmekomeshwa & there's nothing you can do sio nyie tuu hata hao mabwana zenu piaHii ni mara yako ya ngapi kupiga kura??
ichoboy01
Inawezekana kutokakana unavoongea ikawa kma mara ya pili au ya tatu...
Uchaguzi wa mwaka huu sio hata wa kubishana kuhusu haki au sio wa haki ni inshu ya kunyamaza tu.. ila kama tukiongelea uhalali ni AIBU!!!
Chamsingi sio vitu vya kuongelea kwenye uzi huu.
Humu ndani kuna watu wanafuata mkumbo hawajui haki ni nn! Mie nawaangalia tu! tupigwe kwanza sanctions halafu tutapata akili!
aibu kwa wasaliti na mmekomeshwa & there's nothing you can do sio nyie tuu hata hao mabwana zenu pia
Mkuu mm naelewa kabisa unachomaanisha kwmb co kuwa hujapendezwa Magu kushinda ila unataka japo kuwe na upinzani bungeni lkn Geza ukweli ni kwamba upinzani wa Tz hauna maana yoyote mana wameweka mbele matumbo yao, hebu angalia mtu km zito ni mbunge wa Kigoma mjini lkn asilimia kubwa maisha yake ni Dar.Sina uzalendo wa kifalafala niko kusimamia fair play! Ushindi wa mazabe na kura za maharuani si huka yangu! Kuna habari vijana wengi chini ya miaka 35 wameshindwa kupiga kura kwavile majina yao hayajaonekana pia wasimamizi wengi wa vituo vya kura wa upinzani kuenguliwa!
muulize Robert Amsterdam akwambie usaliti nininiAkili kama hii siioni ikiwa imevuka miaka 25.
Na mwaka huu ni mara yangu ya 5 kupiga kura sijawahi kupigia chama kimoja mara 3.
By the way mimi sijui hata usaliti ni nn!! Napenda maendeleo ya nchi na haki..
Kiufupi unapokunywa hiyo dawa, control ya akili na kila kitu ndani ya mwili wako kipo chini ya hiyo dawa...Unakutana na watu wengi Sana unapokuwa unasafiri... Kuna pattern nyingi Sana unaziona zinakuijia...Utajalibu kupambana na iyo dawa mwanzo lakini utashindwa... Kiufupi nikama unakuwa umekufa na huna tena control na kitu chochote katika mwili wako. Kama unataka kujua kuwa Kuna afterlife basi tumia hiyo dawa...I was real travelling through time...You start living a new life nakupata idea mpya nyingi Sana...Inakuchukua masaa sita kuisha...Ila kuisha kabisa Inakuchukua siku nzima...Utakuwa unafanya vitu bila wewe kujua kwa hiyo Ni vyema ufungiwe chumbani bila kuwa na kitu chochote kitakacho kudhulu...
Kama utaitaji kuacha pombe... Muda huo unaokuwa kwenye trip maisha yako yote tokea umezaliwa hadi Leo hii yanakuijia alafu inakupeleka sehemu nyingine ambapo nikama unakutana na malaika... Mimi ilo ndo Jambo la ajabu lililonishangaza Sanaaaa..