TYWIN LANNISTER
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 854
- 209
Kamati ya roho chafu mtazidi Kusoma labelSpeed labda ya wizi, magonjwa, ufisadi, ukora na ulimbukeni![]()
Kamati ya roho chafu mtazidi Kusoma labelSpeed labda ya wizi, magonjwa, ufisadi, ukora na ulimbukeni![]()
are we in 2017 hauwezi compare real estate ya Kenya na Tanzania yetu ni topnotch
wachina hawana mambo mengi
Wakenya huyu jamaa yupo vizuri, itapendeza akipewa yeye uraisi, wanasiasa wenu wote hawafai kabisa...
Kwa hivyo wewe ulienda kutazama body yake wakati wengine wanatazama ngumi?Lilikuwa pambano zuri sana, jamaa nilikuwa cjawahi kumuangalia kumbe yupo na ana body nzr akipata training ya kutosha atafika mbali.
Sio ninyi bwana,ni wachina hao..nyie hamkutoa hata sh 5 ..yaani nyie ni mserereko tu kitonga..!!Hii speed tunaenda nayo haijatokea tena hapa AfrikaView attachment 1616904View attachment 1616905View attachment 1616906
ni kheri kuwa na dikteta mleta maendeleo kuliko kuwa na mwanasiasa anae iharibu nchi kiuchumi/kijamii na maendeleo ya wananchi kiujumla...Anafanya kazi nzuri ila yeye ni mwanajeshi. Abakie huko Nairobi. Asiwe rais maana wanajeshi ni madikteta. Hatutaki dikteta kama JPM huku Kenya.
Ubongo wangu hauhitaji kusafishwa maana upo sharp sana. Labda nikizeeka ndio nitaihitaji hio dawa. Nyie wenye ubongo legevu endeleeni kuinywa.Hapana, ni kwa mtu yeyote anayetaka kuusafisha ubongo.
Huwa sijibu hoja dhaifu km hz.Kwa hivyo wewe ulienda kutazama body yake wakati wengine wanatazama ngumi?
Ikijaupanda wa barabara sisi hatuna mwenzetu hapa EA...hii nayo ni western bypass inajengwa pia na iko na interchange zaidi ya kumi na zingine zatakua three level interchange kama hako kaubungo kenuSio ninyi bwana,ni wachina hao..nyie hamkutoa hata sh 5 ..yaani nyie ni mserereko tu kitonga..!!
Wacha maneno weka Evidence.are we in 2017 hauwezi compare real estate ya Kenya na Tanzania yetu ni topnotch
Hio seal ya Kenya haifanani na ya US hata kidogo. Seal ya USA haina simba wawili ambao wameshikilia ngao na mkuki. Wewe unajua seal ya USA inavyofanana kweli? Afadhali ungesema ya UK maana UK pia wana simba kwenye seal yao.hio seal inafanana na ya USA
kama uko (sharp sana) kwa nini usiufanye uwe (sharp sana ) + 1?Ubongo wangu hauhitaji kusafishwa maana upo sharp sana. Labda nikizeeka ndio nitaihitaji hio dawa. Nyie wenye ubongo legevu endeleeni kuinywa.
Hehe. Nilikuwa natania tu.kama uko (sharp sana) kwa nini usiufanye uwe (sharp sana )+ 1?
Tanzania wanainterchange moja pekee halafu wanataka kubishana na Kenya wabwege sanaIkijaupanda wa barabara sisi hatuna mwenzetu hapa EA...hii nayo ni western bypass inajengwa pia na iko na interchange zaidi ya kumi na zingine zatakua three level interchange kama hako kaubungo kenuView attachment 1616953View attachment 1616954View attachment 1616956View attachment 1616957View attachment 1616959View attachment 1616960View attachment 1616961View attachment 1616962
Ulinishangaza sn ila km ulikuwa unatania sawa.Hehe. Nilikuwa natania tu.
Evidence ya nn Leta report ya world bank ya 2020 c ya 2017 tuko 2017Wacha maneno weka Evidence.
Bado hawajatoa.Evidence ya nn Leta report ya world bank ya 2020 c ya 2017 tuko 2017
Rudi ukajifunze vyema juu ya duwa la kuku....NYIE MACCM MUMEIBA KURA ZA WANANCHI ILI JIWE LIENDELEE KUTEKELEZA MADUDU YAKE!! NASEMA HIVI KWA DHAMBI MLIZOFANYA KWENYE HUU UCHAGUZI, MUMELIINGIZA TAIFA KWENYE LAANA MAANA MIOYO YA WATANZANIA WENGI IMENUNG'UNIKA.
HIVYO HII MIAKA MITANO HUYU JIWE PAMOJA NA SERIKALI YAKE HAWATOFANYA LOLOTE LA MAANA ZAIDI YA KUJILIMBIKIZIA MALI NA UTAJIRI. HIVYO MIJI KAMA DAR, MWANZA TUTEGEMEE IKIPATA ATHARI ZA MOJA KWA MOJA...
HIVYO NDOTO YA KUJA KUIPIKÙ NAIROBI ITAKUWA ISHAKUFA.
WATANZANIA TUFANYE MAOMBI YA TOBA ILI MUNGU ASIRUHUSU HII ADHABU.