Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilimani has added another 20 plus story tower
JamiiForums1296848812.jpg
 
Unaongelea dunia ya 2000 na kulinganisha na 2020🤣🤣🤣
Kwa hiyo huko shuleni wanaosoma history wanapoteza tu kwa sababu yalishapita? Au mahakamani wanasheria wanapofanya reference kwenye kesi za zamani za namna hiyo ili kujenga basis ya hukumu nao hawana maana? There is no today without yesterday young man!
 
Lkn Kilimani hakuna maji, nilishafika hapo, wamejenga nyumba nyingi na watu wengi lkn systema ya maji ni ile ile ya colonial Muzungu time, hivyo hakuna maji, ...
Nani kakudanganya?...Kilimani ni mtaa wa kidosi watakosa aje maji?
 
Achana naye huyo jamaa ni Mkenya/Mjaluo hivyo hana mapenzi yoyote na Tanzania yetu, ukimuona hapa alikuwa anawanga Wakenya ni kwa sababu ya Raila, siyo kwamba hapendi Kenya kwao, bali ni kwa sababu ya Ujaluo wake hawapendi Wakikuyu, lkn ni Mkenya 100% umeona sasa makucha yake, next time kuweni waangalifu sana na watu wenye ndimi mbili, he is a two faced nigga, ...
Geza Ulole sio Mkenya wewe ng'ombe. Kwa hivyo mtu yeyote akiwapinga kidogo basi mnambatiza Ukenya? Nyie endeleeni kusherehekea kilichotendeka lakini mwishowe mtaelewa umuhimu wa upinzani. Kumbe Barbarosa unakuanga mjinga hivyo?
 
Geza sio Mkenya wewe ng'ombe. Kwa hivyo mtu yeyote akiwapinga kidogo basi mnambatiza Ukenya? Naona hamtaki upinzani kabisa. Nyie endeleeni kusherehekea kilichotendeka lakini mwishowe mtaelewa umuhimu wa upinzani. Kumbe Barbarosa unakuanga mjinga hivyo?
Ngj nikwambie kitu tumekuwa na upinzani hapa Tz miaka mingi especially after Mwl. Nyerere na hakuna chochote tulichopata zaidi ya kulipa watu ambao hawawajibiki na wenye lawama za kipuuzi lkn baada ya kumaliza nguvu ya upinzani tunaona mambo yanaenda, hii inakupa tafsiri gn ni kwamba nchi zetu hizi maskini hazina uhitaji wa upinzani cz tunapoteza muda mwingi kubishana pasipo kufanya kazi, cha msingi ni kuomba upate kiongozi makini zen mmuache huyo huyo kwa miaka kadhaa, nyie km mnaona upinzani unasaidia basi endeleeni nao sisi tumeshaukataa mkubali au mkatae.
 
Back
Top Bottom