Mr bongo
JF-Expert Member
- Mar 18, 2019
- 462
- 1,015
Sasa mimi mambo ya belgium yananihusu nini??muulize Robert Amsterdam akwambie usaliti ninini
ivi unaijua Belgium katika ulimwengu huu wa ubepari?
Tanzania nizaidi ya uijuavyo broh
Au uyo amsterdam ananihusu nini?
By the way mimi ni mdau mkubwa wa ubepari,. Na sipendi kabisa mambo ya democracy ila nachukia zaidi unafki ku act kama mnademocracy wakati mnapigana tu na kuuana kipindi cha uchaguzi..
Tuachane na haya mambo uchaguzi ushapita na hapa sio mahala pake. Hapa ni nairobi vs dar es salaam.