Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
What's going on dshkweli ni malofa kama kura zinakamatwa af aliekamatwa nazo hayupo yani walizikamata zikielea hewani
aliekamatwa nazo yuko wapi?
Me mwenyewe nilikua na mawazo haya haya na tayari nimecoment hivi hivi kabla ya kusoma hii reply yako 😁😁
Angalau tupo wenye upeo wa kuhoji hivi, chadema walichoma office yao wenyewe Arusha ili kutengeneza picture kwamba ni serikali
Thanks to technology Mazungumzo yao yote ya mipango yote ilikua tapped and investigated saivi wapo behind bars, sasa watashindwaje kuphotocopy zile specimens walizopewa last week ili kutafuta hii huruma?