Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 1616250

Aliyoiongelea boss mulisaaa hapo awali ni aina ya mkonge (Cactus) ila dawa hiz pia unaweza kupata kutoka kwenye aina fulani ya uyoga.

kama utakamua maji yake, kumpa jamaa yenu hakikisheni hajanywa pombe wala dawa zozote, kwa angalau siku tatu. Kwasababu maji hayo yanaweza kuchanganyika na dawa/pombe na kutengeneza sumu. Pia angalieni hali yake kiafya kama anaugonjwa wa moyo, kisukari, figo na ini msimpe mpaka mumuone daktari.
Asante sn, kwahyo hii cactus unachanganya na nn, unaiponda ponda au unatumia mzizi wake?
 
Asante sn, kwahyo hii cactus unachanganya na nn, unaiponda ponda au unatumia mzizi wake?
Unatengeneza sharubati ya cactus yenyewe na kunywa (huhitaji kuchanganya na kitu). Unaweza kuweka kwenye blenda au ukaipondapona na kuchuja maji vyake.

Mulisaa hapo juu amesema yeye aliambiwa achanganye na pombe (kama anataka kuacha pombe). Ila kiukweli hiyo ilikuwa ni janja tuu ya sharman wake (mganga) ku legitimise utabibu wake, huhitaji kuchanganya na kitu.

Kama utaijaribu kaka, anza na robo kikombe halafu isikilizie kama dakika 45 hivi, kama huoni effect ndio uongeze iwe nusu na zaidi. Hii itakusaidia kupunguza overdose. Kuwa karibu na mtu unayemwamini kwa kuwa kila "safari" inavimbwanga vyake, dawa inaweza kukukumbusha mambo mabaya yaliyokutokea na ukataka kujidhuru.
 
Unakamua maji ya cactus yenyewe na kunywa (huhitaji kuchanganya na kitu). Mulisaa hapo juu amesema yeye aliambiwa achanganye na pombe (kama anataka kuacha pombe). Ila kiukweli hiyo ilikuwa ni janja tuu ya sharman wake (mganga) ku legitimise utabibu wake, huhitaji kuchanganya na kitu.

Kama utaijaribu kaka, anza na robo kikombe halafu isikilizie kama dakika 45 hivi, kama huoni effect ndio uongeze iwe nusu na zaidi. Hii itakusaidia kupunguza overdose. Kuwa karibu na mtu unayemwamini kwa kuwa kila "safari" inavimbwanga vyake, dawa inaweza kukukumbusha mambo mabaya yaliyokutokea na ukataka kujidhuru.
Thanks a lot, so ni cactus hz hz ambazo hata majumbani tumezipanda au mpk tutafute zilizoota misituni?
 
Thanks a lot, so ni cactus hz hz ambazo hata majumbani tumezipanda au mpk tutafute zilizoota misituni?
Screenshot_2020-10-31 Echinopsis pachanoi - Google Search.png

Ni hizo hizo bro, jamii ya mkonge, scientific name ni Echinopsis pachanoi.
 
Katika kukua kwangu kote sijawahi kuona upinzani uliopoteana kama huu,nilijaribu kuhudhuria mikutano kadhaa ya upinzani kama vile ACT,tuseme tu ukweli katika jimbo ninalo ishi mimi miaka ya nyuma upinzani ulifanya sana kampeni,lakini mwaka huu nimeona tu ACT,hakuna cha CUF wala chadema,halafu sasa huo mkutano wenyewe sasa ni mkutano wa udiwani,yaani nilishangaa kwenye mkutano huo kuna mgombea udiwani tu hakuna mbunge wala raisi,yule mgombea udiwani anajinadi yeye tu,hamnadi mbunge wake wala raisi,eti anasema udiwani mnichague mimi lakini uraisi mpeni lissu!!!?..wakati huohuo wenzao ccm wamefanya mikutano 4 tena mikutano ya nguvu huku wagombea wote wakiwemo ..immagine katika kata moja mikutano mikubwa 4 imefanyika..nilitamani nimuone lisu lakini sikumuona yeye wala mbunge wake wakifanya kampeni katika jimbo langu...

Kwa hiyo upinzani umekufa kifo halali kabisa,mwaka huu walipoteana kabisa yaani
 
tofaut na USA sijaona nchi wala jumuia nyingine yoyote ikilalamikia uchaguzi huu

ila vyombo vya habari vya kimataifa wanawa'quote ubalozi wa us kwamba kulkua na ufanganyifu but why USA pekee?

so hii maana yake n nini?
Geza Ulole@
mulisaaa@
 
Pia cwezi kuongeza maji ili kupata maji yake kiurahisi? Maswali yng ni hayo tu mkuu, thnx in advance.
Kuweka maji utakuwa umei-dilute ila kama unaona chungu badala ya kunywa robo kikombe unaweza kuongeza maji iwe nusu kikombe. Effect yake itakuwa ile ile kwa kuwa mwili utachuja ile 1/4 ya maji na kutoka kama mkojo na ile 1/4 ya dawa itakuwa absorbed mwilini.
 
SO, hii ni kwaajili ya walevi tu au?
 
Back
Top Bottom