Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Muulize huyo kiongozi wa ACT ni nani na ni wa eneo gani?tatizo lako mbishi.. hio video niliwahi kuona kitambo.. huyo mtu alifumaniwaga!
tuseme umeshinda..
Muulize huyo kiongozi wa ACT ni nani na ni wa eneo gani?tatizo lako mbishi.. hio video niliwahi kuona kitambo.. huyo mtu alifumaniwaga!
tuseme umeshinda..
Hakuna cha sanctions wala babu yake na sanctionsHumu ndani kuna watu wanafuata mkumbo hawajui haki ni nn! Mie nawaangalia tu! tupigwe kwanza sanctions halafu tutapata akili!
Mtu uko na dar unalalamika Mbowe kushindwa HAIMimi hata sikuwa nataka Lissu ashinde...Ila kwa upande wa wabunge...Watu wengi wanalalamikia juu ya wabunge....Usipoliona ilo utakuwa na matatizo..
Karibu ataanguka mwenyeweHuyu Robert anajulikana kwa kuangusha tawala nyingi duniani...Ndo aliangusha utawala wa Venzuela....Napia anataka kuangusha utawala wa Russia wa Vladmir Putin...
Now Zito na mbowe watabaki kuwa wanaharakati kama CYPRIAN MSIBAHakuna kabisa upinzani Tanzania me mwenyewe nimefrahi sana
Wapinzani wanashangilia ndege zetu kukamatwa, wapinzani wanashangilia Corona ikiua watu, wapinzani wanaomba madaraja yavunjike?
Upinzani wa kipumbavu kabisa, zitto wa zamani kabla ya act ndio alikua mpinzani.
Nataka haki kwa wote na si wewe kuwa mwamuzi wa kuwahukumu si wa maana! Na usiniwekee maneno tafadhali!Mkuu mm naelewa kabisa unachomaanisha kwmb co kuwa hujapendezwa Magu kushinda ila unataka japo kuwe na upinzani bungeni lkn Geza ukweli ni kwamba upinzani wa Tz hauna maana yoyote mana wameweka mbele matumbo yao, hebu angalia mtu km zito ni mbunge wa Kigoma mjini lkn asilimia kubwa maisha yake ni Dar.
Hivyo hivyo profesa jay, Mbowe, Sugu na pia hata wengi wa wabunge wa ccm, ilikuwa kwamba ubunge ni pesa lkn co kupambania wananchi, so hiki kitu Magu amekuwa akikipinga sn hivyo basi kwa sababu hizo wananchi wameona ni bora kumpa Magu wabunge wa chama chake ili awanyooshe vzr, and trust me Geza wabunge wa ss watabadilika sn na Magu anaenda kuonesha thamani ya mwananchi na anakwenda kubadili kabisa taswira hasi kuhusu ubunge na baada ya miaka hii mitano sidhani km ubunge utakuwa ni kitu cha kukimbilia we ngj uone.
Kweli kabisa mkuu, uchaguzi ulikuwa wazi kabisa yeye Geza anaweka ushahidi ambao ni wa uongo kabisa, alafu Geza yupo nje ya nchi km mwenyewe anavyosema lkn cc tupo humu nchini km kweli ingekuwa uchaguzi c wa haki basi kelele zingelisikika tu ni km covid 19 km kweli watu walikuwa wanaokotwa barabarani c tungeliona?Solution ni ndogo sana, kwakua uzi unahusu battle between narobi ns dar ila Gezaulole analeta usiasa humu cha kufanya ni Kumuweka Ignore list post zake tusizione abaki anaongea mwenyewe. Kila kitu na mahali pake
Huyu Robert anajulikana kwa kuangusha tawala nyingi duniani...Ndo aliangusha utawala wa Venzuela....Napia anataka kuangusha utawala wa Russia wa Vladmir Putin...
Teh tehNow Zito na mbowe watabaki kuwa wanaharakati kama CYPRIAN MSIBA
Hiyo dawa inaitwaje na kama hutojali naomba muongozo wa kumpata huyo mganga tafadhari kuna mtu anatusumbua nyumbani kwa ajili ya pombe. Kesha lidhia tukipata dawa ya kumfanya aache pombe yuko tiari kwa lolote. Tafadhari mkuu
CCM naona inaelekea kufa....Watalazimisha mbinu zao zote zitafikia mwisho...Nauwakika Tanzania itawekewa vikwazo na mataifa makubwa..Utalii utakufaMimi
Sina mapenzi na mbunge yeyote ila kitendo cha wabunge wote wa upinzani kupigwa chini nimeona dhahiri kuna mchozo mchafu sana sina tatizo na kiti cha uraisi japo napo asilimia zimeongezwa. Ila angeshinda tu japo sio kwa asilimia izo.
Kama Tanzania haikuwekewa vikwazo baada ya uchaguzi wa 2000 leo itawekewa vikwazo kwa sababu ipi? Katika siasa you must have a big heart to handle all circumstances (victory or failure) vinginevyo ukienda kwa mihemuko utapata tabu sana. You won't get anywhere! You will die young with heart attack or dipression!CCM naona inaelekea kufa....Watalazimisha mbinu zao zote zitafikia mwisho...Nauwakika Tanzania itawekewa vikwazo na mataifa makubwa..Utalii utakufa
Unaongelea dunia ya 2000 na kulinganisha na 2020🤣🤣🤣Kama Tanzania haikuwekewa vikwazo baada ya uchaguzi wa 2000 leo itawekewa vikwazo kwa sababu ipi? Katika siasa you must have a big heart to handle all circumstances (victory or failure) vinginevyo ukienda kwa mihemuko utapata tabu sana. You won't get anywhere! You will die young with heart attack or dipression!