Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

But poor finishing as usual!
Poor finishing? Hujui unachosema. I&M bank wana buildings hatari sana. Hii hapa ni ya Nairobi CBD

Nairobi CBD

images (6).jpeg
images (4).jpeg

Hata hilo jengo zuri la glass uliyocomment ni yao, iko parklands. Kwa hivyo wana buildings mbili za glass

Parklands

images (5).jpeg
 
Ethiopia is not out.
Ethiopia is very much out. Ethiopia imejenga reli kuunganisha na Djibout, kama ninyi mnalazimisha matumizi ya SGR ili kulipa deni la mchina, vipi mtegemee Ethiopia asitumie bandari ya Djibout badala yake atumie Mombasa, atalipaje deni la mchina?.

Sasa hivi uhusiano kati ya Ethiopia na Eritrea ni mzuri sana, Ethiopia imeanza kutumia bandari ya Asmara ambayo ni karibu sana kwa barabara kuliko Mombasa

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
When did Ethiopia say that they are out? Weka evidence. Hapa JF tunadeal na evidence sio story za vijiweni
 
"Commuter rail( itabeba)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tusubiri kwanza ikishabeba ndio urudi tuzungumze, kwa sasa hivi Tanzania Commuter rail + BRT zinabeba watu wengi mara 3 zaidi ya wanaobebwa na Commuter train yenu.

Kuhusu Maji, Dar es salaam 99% ya Population yake inapata maji safi na Salama. Kwa nchi nzima: 74% ya rural na 88% ya urban Population inapata maji safi na salama. Hivi ndio vitu tunataka kusikia, sio GDP isiokuwa na usaidizi kwa wananchi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Pole Sana nilisahau inabeba 😂😂😂
unikumbushe pia electric train yenu ikianza kubeba watu na mizigo
Kwasababu nimegoogle nchi zenye electric rail Africa Tanzania haipo
Leta evidence kuhusu maji 😂😂😂
 
Eti unasema ujenzi unaanza kuhesabiwa feasibility unapoisha? Kwa hivyo pipeline project yenu ujenzi ushaanza kwa sababu feasibility ilishakamilika zamani?
Hata hili pipeline yetu, lazima kipindi cha "project implemantation kinaanzia mara tu "Feasibility study inapokamilika, construction" ni sehemu tu ya mradi mzima, kumbuka kuna " Fund mobilization", tender announcement and awarding", kwenye hicho kipengele cha Construction kuna kipindi cha miezi 6 ya "Construction equipments mobilization, site clearing"......

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Pole Sana nilisahau inabeba 😂😂😂
unikumbushe pia electric train yenu ikianza kubeba watu na mizigo
Kwasababu nimegoogle nchi zenye electric rail Africa Tanzania haipo
Leta evidence kuhusu maji 😂😂😂
We kuwa serious iyo nairobi rail ina capacity iyo ila sio inabeba watu 1.5 per single day unanambia populatn ya nairobi 4.5m kati yao 1.5m always wanapanda izo tren so private cars na matatu zinabeba nn?? Afu izo bado ni projection DSM commuter rail inabeba 15k to 20k per single day na project ni kujenda 6more route saivi ziko route 2 za uhakika.TRC eyes six commuter railway networks in Dar
 
Maybe, however as a black people tuko na njia ndefu sana kabla tufike 1st world Country. Mashindano kati yetu sisi waafrika furaha kwa mabeberu.
Ila mwaswast ama kwa hakika tumekunyoosha kama rula, hivi ni wewe yule ama ninaota?

Watanzania tuna kila sababu ya kutembea kifua mbele sababu harakati zetu za kuwafungua macho wakenya zimeanza kuzaa matunda, mwaswast ni mmoja tu aliekiri wazi, wapo wengine wanagugumia rohoni na wengine wamehama kabisa jukwaa

Ama kwa hakika wakenya mambo bado, yajayo yanafurahisha zaidi 😅😅😅

Mwaswast ni wewe uliekua ukihitaji kilometres 1 tu ya SGR? Dunia inaenda kasi sana 😅😅😅
 
Hata hili pipeline yetu, lazima kipindi cha "project implemantation kinaanzia mara tu "Feasibility study inapokamilika, construction" ni sehemu tu ya mradi mzima, kumbuka kuna " Fund mobilization", tender announcement and awarding", kwenye hicho kipengele cha Construction kuna kipindi cha miezi 6 ya "Construction equipments mobilization, site clearing"......

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kwa hivyo ujenzi wa pipeline yenu ilianza zamani? Wewe unadefine ujenzi in very broad terms. Lakini kwa lugha ya yahe wa kawaida ukisema ujenzi umeanza siku fulani, yeye anaelewa kuwa hio ndio siku bulldozer zilianza kupiga kazi. Hio ndio siku earthmover ilianza kuparamia ardhi. Sasa upo sahihi lakini hio definition yako ni general sana. Sasa construction ya pipeline yenu ilianza miaka mitatu iliopita kulingana na definition yako. Construction kwa kawaida tunamaanisha ujenzi wenyewe lakini ninakuelewa unachomaanisha.
 
😂😂😂Tz ni Dar na Dar ni Tz including low life residential designs za kishamba, hamna lolote to level kamweeee😂😂., vipicha ndio yenu😂😂😂😂 weka Mwanza 2nd city nicheke kidogo😂😂😂 hapa hamniambii chochote😂😂
Mwanza niliwaambia Hata ruiru itaitoa mapomvu
 
Back
Top Bottom