Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida ya wabongo ni wanafikiri Tanzania pekee ndio Iko na maendelo watashutuka sana 😂😂😂😂
Lakini kusema kweli njaa inasumbua sana wakenya.
Screenshot_20201026-102110.png
 
Amka sasa kutoka kwenye ndoto, piga darubini Africa kote, nchi kadhaa zina amka na ziko na mikakati kabambe za kimaendeleo sio Tz pekee. Kenya too has developmental plans from county level to National, sasa kwa akili yako when will Tz catch up? When?., tukiweka facts humu mnaanza kulia lia na kukimbilia Turkana ama Kibera(old photos😂😂😂😂😂) kwasababu hampendi kuona Kenya iko juu yenu licha ya mapungufu tulio nayo! kubali your level, stick to your lane and grow steadily bila kufikiria Kenya.
Who to trust,mnaliwa mchana kweupe kila mradi lazima kipigwe cha juu miradi mingine hewa kbs mingine inaishia njiani,mnaweza kuona tunapiga kelele ila tunawaamsha,Wasiwasi wangu mkubwa beyond reasonable doubt uchumi wa Kenya ni wa kwenye makaratasi ila si kwa ground,mnawekewa figure nzuri wananchi ili mchekelee ila njo kwenye uhalisia sasa majority wamechoka kama nini maskini.
 
Hii co Kibera usijifanye chizi [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1613656
Floods ilifumania Dar nyamaza tu kaka😂😂😂 80% of the city ni low life mbona? Not sections, imetapakaa kote kote!!!!!
images-109.jpeg

images-114.jpeg

images-99.jpeg

images-96.jpeg

images-116.jpeg

images-85.jpeg

This is the normal lifestyle or standards ya life ya 90% of Dar city dwellers! The reason world bank confirmed this by publishing their findings of your huge extreme poverty numbers in EAC na SADC!., The best 007 nani aliwaroga kwa ukweli????
 
Floods ilifumania Dar nyamaza tu kaka😂😂😂 80% of the city ni low life mbona? Not sections, imetapakaa kote kote!!!!!
View attachment 1613670
View attachment 1613671
View attachment 1613672
View attachment 1613673

View attachment 1613675
View attachment 1613676

Hii imekaaje. Unaweza kutupatia jibu!?
Screenshot_20201026-132351.png
 
Amka sasa kutoka kwenye ndoto, piga darubini Africa kote, nchi kadhaa zina amka na ziko na mikakati kabambe za kimaendeleo sio Tz pekee. Kenya too has developmental plans from county level to National, sasa kwa akili yako when will Tz catch up? When?., tukiweka facts humu mnaanza kulia lia na kukimbilia Turkana ama Kibera(old photos😂😂😂😂😂) kwasababu hampendi kuona Kenya iko juu yenu licha ya mapungufu tulio nayo! kubali your level, stick to your lane and grow steadily bila kufikiria Kenya.
Hio ndio class yao hujui Turkana na Kibera ndio inawasuit
 
Lapsset na Kisumu port zipo. Pengine hizo za kwanza mbili ndio zina tashwishi
Sahau kuhusu LAPSSET, Ethiopia is out, South Sudan is not capable with any thing apart from civil war for now. You are remaining with Lamu port which is almost white big elephant like Your SGR from Nairobi to Naivasha

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Floods ilifumania Dar nyamaza tu kaka😂😂😂 80% of the city ni low life mbona? Not sections, imetapakaa kote kote!!!!!
View attachment 1613670
View attachment 1613671
View attachment 1613672
View attachment 1613673

View attachment 1613675
View attachment 1613676
This is the normal lifestyle or standards ya life ya 90% of Dar city dwellers! The reason world bank confirmed this by publishing their findings of your huge extreme poverty numbers in EAC na SADC!., The best 007 nani aliwaroga kwa ukweli????
Wacha ajibambe na floods na slums nyani haoni kundule 😂😂😂
 
Back
Top Bottom