Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Who to trust,mnaliwa mchana kweupe kila mradi lazima kipigwe cha juu miradi mingine hewa kbs mingine inaishia njiani,mnaweza kuona tunapiga kelele ila tunawaamsha,Wasiwasi wangu mkubwa beyond reasonable doubt uchumi wa Kenya ni wa kwenye makaratasi ila si kwa ground,mnawekewa figure nzuri wananchi ili mchekelee ila njo kwenye uhalisia sasa majority wamechoka kama nini maskini
GDP ni economic output ya nchi sivyo? Nataka uniwekee hapa list ya top 20 businesses na institution za Tz with their annual revenue/profits as a contribution to your GDP ya mawe kisha mimi niweke 20 za Kenya n their income generation and contribution to the GDP ya makaratasi😂😂😂 tuone., angalia miji yetu 15 bora drone view in comparison na za kwenu haswa kimaendeleo na makao ya raiya., weka facts., ukitaka!., nyie ni domo domo na propaganda ndio mnajua tu😉😂😂 😂😂
I dare you weka niweke! Sitaki kiswahili mingi mimi, ina uzembe flani.,
 
Hzo c facts
Mm nko facts ama unataka evidence niweke GDP ya Nairobi hapa na ya Tanzania hapa
Tunataka People centered Development, onyesha maendeleo yaliyofanyika Nairobi vs Dar es salam. Haya maneno ya GDP wakati hata maji ya kutosha ni shida, uchafu umetapakaa mjini, Public transport system ni hovyo, ni chizi pekee ndiye atafurahia GDP ya kwenye makaratasi wakati on ground hali ni tofauti

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
GDP ni economic output ya nchi sivyo? Nataka uniwekee hapa list ya top 20 businesses na institution za Tz with their annual revenue/profits as a contribution to your GDP ya mawe kisha mimi niweke 20 za Kenya n their income generation and contribution to the GDP ya makaratasi tuone., angalia miji yetu 15 bora drone view in comparison na za kwenu haswa kimaendeleo na makao ya raiya., weka facts., ukitaka!., nyie ni domo domo na propaganda ndio mnajua tu
I dare you weka niweke! Sitaki kiswahili mingi mimi, ina uzembe flani.,
We huwa unanichekesha sn hiyo battle ya miji ilishawekwa humu ikaonekana kenya nzima miji ambayo kdg afadhali ni nairobi na kwa mbaali mombasa, ss utashindana vp na Tz
 
Tunataka People centered Development, onyesha maendeleo yaliyofanyika Nairobi vs Dar es salam. Haya maneno ya GDP wakati hata maji ya kutosha ni shida, uchafu umetapakaa mjini, Public transport system ni hovyo, ni chizi pekee ndiye atafurahia GDP ya kwenye makaratasi wakati on ground hali ni tofauti

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Asante kwa jibu mujarabu kbs Festo njo ule ya uso huku na GDP yako ya makaratasi.😂
 
Tunataka People centered Development, onyesha maendeleo yaliyofanyika Nairobi vs Dar es salam. Haya maneno ya GDP wakati hata maji ya kutosha ni shida, uchafu umetapakaa mjini, Public transport system ni hovyo, ni chizi pekee ndiye atafurahia GDP ya kwenye makaratasi wakati on ground hali ni tofauti

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile ap
Tuanze na public transport
Commuter rail itabeba watu 1.5milioni kla cku na kilomita 200
Brt yenu inabeba watu wangapi kla cku na kIlomita ngapi
Dar hakuna shida ya maji 😂😂😂😂
Ukitaka people centered development tulinganishe hdi ya Kenya na ya Tanzania tuone nani ako juu
 
GDP ni economic output ya nchi sivyo? Nataka uniwekee hapa list ya top 20 businesses na institution za Tz with their annual revenue/profits as a contribution to your GDP ya mawe kisha mimi niweke 20 za Kenya n their income generation and contribution to the GDP ya makaratasi tuone., angalia miji yetu 15 bora drone view in comparison na za kwenu haswa kimaendeleo na makao ya raiya., weka facts., ukitaka!., nyie ni domo domo na propaganda ndio mnajua tu
I dare you weka niweke! Sitaki kiswahili mingi mimi, ina uzembe flani.,
Jana wakati anatoa hotuba yake huko Bomas of Kenya, Rutto alisema 40% ya wakenya wanaishi below poverty line, na 16M ya wakenya ni jobless, tunataka tushughulike na hao.

Wewe hizo Benk na makampuni ya watu binafsi kutengeneza faida kubwa, inapunguzaje na kusaidiaje hao wananchi 40% wanaoishi ktk umasikini?. Kwanini bado wakenya hamshituki mnaendelea kushabikia watu wachache wanaendelea kuishi maisha ya kifahari wakati wakenya wengi wanaishi kama wanyama?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
This building is beautiful aesthetically naona mnaanza kutuiga sasa na design za glass and steel! big up!
Sisi tulikuwa na jengo la glass na steel mbele yenu. Inaitwa I&M bank tower. Ina kimo cha mita 99 na ilikamilika mwaka wa 2001.

images (2).jpeg
 
Jana wakati anatoa hotuba yake huko Bomas of Kenya, Rutto alisema 40% ya wakenya wanaishi below poverty line, na 16M ya wakenya ni jobless, tunataka tushughulike na hao.

Wewe hizo Benk na makampuni ya watu binafsi kutengeneza faida kubwa, inapunguzaje na kusaidiaje hao wananchi 40% wanaoishi ktk umasikini?. Kwanini bado wakenya hamshituki mnaendelea kushabikia watu wachache wanaendelea kuishi maisha ya kifahari wakati wakenya wengi wanaishi kama wanyama?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kenya ni nchi ya kibepari, jitume uwe nafuu zembea ufe masikini., alafu despite that nyie ni worse than us mbona kaka?😂😂😂 shighulikia hali yako binafsi wacha blah blah blah!., 2020 inaisha bado Kenya iko jui yenu., mliimba eti by 2020 mnamaliza mchezo😂😂 mlifikiri ni kalonglongo ya watoto😂😂😂 Tanzanians will remain poor for long kwa ajili mfumo wa uchumi mlio chukua haiwezi kusaidia uzembe wa raiya wenu walio wengi ulio ingizwa akilini na ujamaa philosophy, na kwa hivyo wajanja watafaulu maradufu mafala na ndwazi kama wewe mtabaki hapa jf mkituwekea vipicha vya Dar tu miaka nenda miaka rudi😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom