Mr bongo
JF-Expert Member
- Mar 18, 2019
- 462
- 1,015
Sasaivi naona komora096 na TYWIN LANNISTER na Yosef Festo ndo bado hawajajua ukweli they still sturbon against truth but i believe truth always prevail its matter of time.Ila mwaswast ama kwa hakika tumekunyoosha kama rula, hivi ni wewe yule ama ninaota?
Watanzania tuna kila sababu ya kutembea kifua mbele sababu harakati zetu za kuwafungua macho wakenya zimeanza kuzaa matunda, mwaswast ni mmoja tu aliekiri wazi, wapo wengine wanagugumia rohoni na wengine wamehama kabisa jukwaa
Ama kwa hakika wakenya mambo bado, yajayo yanafurahisha zaidi 😅😅😅
Mwaswast ni wewe uliekua ukihitaji kilometres 1 tu ya SGR? Dunia inaenda kasi sana 😅😅😅
