Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati Uganda wanaizidi Tz kwenye gdp basi itakuwa ndiyo nchi yenye gdp kubwa zaidi ukanda huu, af usisahau kwamba hilo bomba lao la mafuta linapita kwetu so pesa nyingi pia tutapata lakini vilevile wakati huo Tz nayo itakuwa ishagundua mafuta yake.

Mind u, mafuta ya Uganda nasi pia tutapata pesa nyingi tu plus employment opportunities, lkn mafuta yetu yatakuwa ni yetu pekeetu so unaweza ku guess ni nani atakuwa the leading GDP country in the region btw Tz and Ug.
Uganda watakuwa na the biggest GDP ikiwa mtachelewa kucommercialise mafuta au Natural gas yenu. Nyie huwa mnafanya vitu polepole so sitashangaa mkipitwa. Kenya sisi tukipitwa angalau tuna excuse. Tutasema kuwa Mungu hakutubariki na natural resources.
 
Tuko slow km tulipokuwa slow kwenye EACOP, Construction of electric railway lines, JNHP, yn nyie bado mnadhani hii ni Tz ya 90s wajinga kweli nyie watu yn mafundisho mnayo na mnaona but mmeamua ku live in denial.
 
Uganda watakuwa na the biggest GDP ikiwa mtachelewa kucommercialise mafuta au Natural gas yenu. Nyie huwa mnafanya vitu polepole so sitashangaa mkipitwa. Kenya sisi tukipitwa angalau tuna excuse. Tutasema kuwa Mungu hakutubariki na natural resources.
Slow but sure with MNC any African country has to be careful mzee! Barrick negotiations took over 3 years! To us if our interests r not covered then let the gas stay underground while local and regional commercialization keeps growing before that LNG for overseas export come onboard! After all more bargain power when one can demonstrate a growth in local n regional markets.

There r plenty of investments we can do ourselves for our local n the region at large while negotiations keep dragging. Uganda has already committed to our gas for her crude oil and steel industries while Kenya will slowly come on board when the gas pipeline from Dar reach Tanga.
 
Toa mauchafu hapa kila mtu anajua kinachoendelea Tz na Wakenya wote wanajua kilichobaki mnajisifu ni gdp ushuzi ambapo imebaki WB kufuta zile namba zen mchezo uwe umeisha.
Hio video ni about Mineral rich nations such as Tanzania.
 
Hio video ni about Mineral rich nations such as Tanzania.
Hii unaijua!?
1768550_IMG-20180520-WA0012.jpg
 
Chances za Uganda kuwapita ninyi ni kubwa kuliko sisi, we will grow with them simultaneously.
Unamuumiza roho unajua Wakenya wengi hawajua how much they lost from this EACOP, hawana habari hata South Sudan ita-join pia, wao wako busy kuiita South Sudan shithole wakati Uganda wanajenga infrastructure za kufa mtu wakati Kenya haina infrastructure kuelekea South Sudan! Believe me Uganda haitaiacha South Sudan ipitishe mafuta yake Kenya! Ur grandiose mentality will come to haunt Kenya badly my friend!

ElFErCKXIAApghy

Tony254

MY TAKE
The truth is aside the pipeline that went to Tanzania, whoever that connects Uganda first with SGR is rest assured of all these benefits! So far Tanzania is leading in this front be it rehabilitation of MGR or be it wagon ferries in Lake Victoria or be it SGR construction (3rd phase is to be tendered on 25th November)!

Though the existing line from Gulu gives Kenya an advantage JPM should try to see that MGR from Gulu is connected to Jinja by a shorter route from Soroti if at all MGR Arusha-Musoma railway is to be built as planned! I also see a chance for another railway to Hoima (the oil capital of EA) from Kampala pretty soon.

UGA_LCA_RailwayNetwork_A4L_.jpg
 
Unamuumiza roho unajua Wakenya wengi hawajua how much they lost from this EACOP, hawana habari hata South Sudan ita-join pia, wao wako busy kuiita South Sudan shithole wakati Uganda wanajenga infrastructure za kufa mtu wakati Kenya haina infrastructure kuelekea South Sudan! Believe me Uganda haitaiacha South Sudan ipitishe mafuta yake Kenya! Ur grandiose mentality will come to haunt Kenya badly my friend!

Tony254

MY TAKE
The truth is aside the pipeline that went to Tanzania, whoever that connects Uganda first with SGR is rest assured of all these benefits! So far Tanzania is leading in this front be it rehabilitation of MGR or be it wagon ferries in Lake Victoria or be it SGR construction (3rd phase is to be tendered on 25th November)!
Magufuli kawafundisha kitu viongozi wa Afrika, naona cku hz viongozi hawakai kai ofisini au kwenda kwenda ulaya, kabaki mmoja tu
 
Back
Top Bottom