Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ishaanza kazi tayar na ishafunguliwa rasmi
Sawa. Angalau wazungu wataacha kunya nje ya airport kwa sababu ya ukosefu wa choo ndani ya airport yenu. Yaani mzungu anasema wazi kuwa alikuwa amekabwa na choo na kwamba airport yenu haikuwa na choo ndani na ilibidi aende kutafuta choo nje ya airport? Mnaaibisha Afrika jameni. Angalau mmejenga bonge la airport
 
Ndo utajua ss kwmb mlikuwa hamuijui vzr Tz ila now you know
 
Sawa. Angalau wazungu wataacha kunya nje ya airport kwa sababu ya ukosefu wa choo ndani ya airport yenu. Yaani mzungu anasema wazi kuwa alikuwa amekabwa na choo na kwamba airport yenu haikuwa na choo ndani na ilibidi aende kutafuta choo nje ya airport? Mnaaibisha Afrika jameni. Angalau mmejenga bonge la airport
so kila wanachosema wazungu ww unakiamini hata kama anachuki zake binafsi???
 
mizigo ya DRC, na baadhi ya burundi na rwanda/zambia tunauhakika itaitumia hio meli kutokea Dar port to Kigoma port then to their destinations
naona dada kasema class ya kawaida itakuwa 44$, sio expensive au ni sawa watu wa kawaida wataweza kuiafford kweli?
 
Back
Top Bottom