Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo ndivyo alivyo huwa anavamia majukwaa ya watu na kuwaharibia hoja zao, mfano hapo chini amevamia thread yetu ya manchester utd na kutukana watu mule mpk pale jamaa alipomuambia km anataka kazi aache matusi ndipo akapunguza matusi kwa sharti la kupatiwa kazi View attachment 1604195View attachment 1604196View attachment 1604197View attachment 1604198
Nani alikuambia nina shida ya kazi wewe mbumbumbu? Kumbe huwa unanifuatilia sana sikujua aise..

Sasa kuanzia leo usifanye tena hivyo.
 
yani unanichekesha sana unataja kampuni amabayo munamiliki 35% alaf bado unajisifu kabisa 😂😂😂 si bora sisi tunakuletea kampuni zinamilikiwa na tanzania 100%

be serious kidogo 😀😀
Weka list ya top 20 best performing in EAC tuhesabu 100% Kenyan owned na 100% TZ owned uone aibu kubwa kwa TZ😂😂😂😂😂 usiwe mwepesi wa kuropokwa, chunguza kwanza!😂😂😂😂
 
Hizi ni mambo za kujifariji tu kwn nani asiyejua kwamba km Tz itaamua km ilivyoamua ss hakuna wa kuikaribia ukanda huu? We hujui kwamba Tz inakwenda kuwa super power EA? Endelea kujifariji wakati ukweli unaujua.
😂😂😂😂sasa nimekuelewa kabisaaa ndio maana ukiona any slight development ama any positive from Kenya inakutesa roho sana, lazima uponde ama kupinga kwa wivu mno!😂😂 unatamani Kenya iwe on a halt ili your dream itimie 😂😂😂., anza na akina Ghana kwanza, uje Ethiopia kisha ukiwapiku uje tuongee😂😂😂, blind patriotism ni mbaya kweli 😂😂😂 yaani hauoni Africa ina amka sehemu nyingi unafikiri ni Tz pekee😂😂 kumekucha kaka, wake up n smell the papaya! Lupita kasema "dreams are valid"., keep on being positive kaka😂
 
anakutajia safaricom wakat 65% wanamiliki watu wa nje na 35% ndio ya kenya alaf yuko hapa anakenua meno 😂😂😂😂
What of Equity? KCB? Co.op?., bado sijaona any Tz company on top ten list EAC that can level!😂😂😂 ata China ina uchumi mkubwa wa pili duniani ukichangiwa na foreign based companies kwa wingi, inaitwa thinking global! How many foreign investments do u have in Tz? Najua ziko but not many za Kenya pia zipo Tz na kwingine in Africa tukichangia uchumi wenu ata kama ni kidogo😂😂 😂 how many Tz companies have ventured outside the borders?😂😂😂 hafifu sana!😂😂😂
 
Hapo nnayemuonea huruma ni Teargass mana huwa hapendi kukubali inafikia kipindi huwa analia kabisa anapoona kenya imepitwa, mfano juzi alilia humu baada ya kugundua ukweli kwamba jeshi letu linatumia helicopters ambazo zinatumiwa na jeshi la Marekani

Hawajui JWTZ Wana vitu Kama hivi hapa👇👇
FB_IMG_1603049922467.jpg
 
Very local. Jua kali like. Just like a kibanda. Very disappointing.
Compared with Nairobi or Mombasa stations.

And again, the cost of the project is going higher as the contract for the trains was not included in the earlier figures. Now contracted to South Korea.

Tanzania may end up paying dearly.

View attachment 1604468View attachment 1604469View attachment 1604470View attachment 1604471
kabla hujaropoka kwanza tuliza akili yako budaa😂😂 tatizo lenu munawashwa sana hvi unafananisha hii kitu na utumbo wenu kweli
0EE94B38-95BD-4773-95DC-39E7FC9429A9.jpeg
 
Mkuu hizi ni nzuri lkn tuweke zile zenye pua...ili kutofautisha ile mitungi ya chang'aa ya Wakunya....tukileta hizi wanaezp renovate vichwa za ile mitungi zikafanna baal hizi...sisi tunataka tuwe na kitu cha 'the only E and C Africa'.
Mkuu hizi ni nzuri lkn tuweke zile zenye pua...ili kutofautisha ile mitungi ya chang'aa ya Wakunya....tukileta hizi wanaezp renovate vichwa za ile mitungi zikafanna baal hizi...sisi tunataka tuwe na kitu cha 'the only E and C Africa'.
Try to be reasonable huu ubishi wa mtungi wa chang'aa kufanana na hii treni naona ni ligi ya kitoto!
 
Unajua Eldoret kweli wewe? Hii sio Mwanza ama Dar., ingact the picture ime feature southern parts na North, hakuna Eldoret East where kuna University of Eldoret, West where kuna Raiply, west indies, Kahoya, Rural, Roadblock estates etc. Kaka niliweka video ukashindwa kutazama., get the drone view uone kama kuna kurudia rudia sehemu. Inakuuma ukiona outside Nairobi kuna serious town, number 5., that can deal a blow to your number two fair and square
Eldoret Ni sawa tu na Moshi
 
Back
Top Bottom