The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,529
Kwahiyo kq inavyopiga magoti kuja Tz huwa inakuja kubeba Wakenya pekee eti?TZ hamna market kubwa ya aviation. Hampandi ndege sana.
Kwahiyo kq inavyopiga magoti kuja Tz huwa inakuja kubeba Wakenya pekee eti?TZ hamna market kubwa ya aviation. Hampandi ndege sana.
yani unanichekesha sana unataja kampuni amabayo munamiliki 35% alaf bado unajisifu kabisa 😂😂😂 si bora sisi tunakuletea kampuni zinamilikiwa na tanzania 100%Nilikuambia urudi shuleni😂😂 hapo Kenya ni 2nd largest! na besides, hizo za kwenu kwa list almost all ni foreign! najua TZ owned with huge performance ni zero ama kidogo sana.😂😂😂😂 prove me wrong on top 15 companies in East Africa uone mlivyo ovyo😂😂
anakutajia safaricom wakat 65% wanamiliki watu wa nje na 35% ndio ya kenya alaf yuko hapa anakenua meno 😂😂😂😂Safari za ndege zitaendelea kuwepo km kawa, c unajua Tz ina watu wengi sana so watakao panda ndege wapo na watakaopanda treni (wengi sn) pia wapo mkuu, hakuna biashara ya hasara Tz.
biashara ya ndege ipo na tena bado ni kubwa sana na still inahitaji ndege zaidiTZ hamna market kubwa ya aviation. Hampandi ndege sana.
Anadhani anaweza kushindana na Tz kwenye sekta ya aviation, wkt dreamliner, A220, bombardier huwa zinajaza kila siku na kila mkoa zinapoendabiashara ya ndege ipo na tena bado ni kubwa sana na still inahitaji ndege zaidi



Naongea kuhusu domestic market Route kutoka Dar hadi Mwanza au Dar hadi Dodoma.Kwahiyo kq inavyopiga magoti kuja Tz huwa inakuja kubeba Wakenya pekee eti?
Huijui vzr Tz ni bora ukanyamaza tu, hakuna biashara ya hasara Tz.Naongea kuhusu domestic market Route kutoka Dar hadi Mwanza au Dar hadi Dodoma.
kila siku air tanzania ina safari mara nne kwa siku kutoka dar kwenda mwanzaNaongea kuhusu domestic market Route kutoka Dar hadi Mwanza au Dar hadi Dodoma.
Ni supuu.This building is just so unique.
View attachment 1604057
Manaake nn hii mkuu.Ni supuu.
Supuu ni sawa na kitu kirembo kwa sheng ya KenyaManaake nn hii mkuu.
Ingia website ya ATCL uone bookings za November zilivyojaa, Dar mwanza ni 3 flights per day as well as Dar kilimanjaroNaongea kuhusu domestic market Route kutoka Dar hadi Mwanza au Dar hadi Dodoma.
Mpe na za Dar Kia na Dar Mbeya na Dar Dodomakila siku air tanzania ina safari mara nne kwa siku kutoka dar kwenda mwanza View attachment 1604058View attachment 1604059
Daahh aiseee.