Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yenu on average low life ni 70-80%., in Dar., inajulikana, the argument I was disputing ni reasoning ya low life mwenzako, trying to use an excuse that can't hold water. Dar your place is clear! Underdog!
Kwa hiyo wewe unaona sawa kuwa shoga ati kisa fulani naye ni shoga!!!..mbona unaleta reasoning ya kijinga kabisa,unaona fahari kuwa na slum eti kisa jo'burg nako kuna slum!!?..hakika wakenya mna ujinga uliozidi
 
Hi! kumbe nilidouche bug la kusafisha mitaro ya kwenye viguest vya uswahilini? ungekua mtu wa kuzunguka hata na gari yako au ndege wa kulala mahoteli kama serena n.k kwenye pc kali ningekuona wa maana kumbe nilisenge fulani la kuhesabiwa mabao :D:D:D. Wee boya huwezi kuuona uzuri wa dar hata ungepiga dili la m50. Unakosa m40 na unaona umekosa kitu kikubwa? Wewe hata kuwepo JF ni disco limeingia masai

Maelezo yake tu yanatosheleza kuelewa yeye ni mtu wa aina gani,na ana matatizo gani..!
 
Magu bwana angetuletea hii kitu iwe kama amempiga mtani kofi la kisogo aka backslapping, haya mambo madogo sana kwetu
 
kwanza muuulize hio kampuni shareholders sio anafurahia tu 😂😂👇👇
View attachment 1603727
Nilikuambia urudi shuleni😂😂 hapo Kenya ni 2nd largest! na besides, hizo za kwenu kwa list almost all ni foreign! najua TZ owned with huge performance ni zero ama kidogo sana.😂😂😂😂 prove me wrong on top 15 companies in East Africa uone mlivyo ovyo😂😂
 
Hivi ndugu zanu mnakiona hiki nachoiona hapa? Kwa sgr na more than 2 lanes road Dar - Moro - Dodoma zitakua kama jiji moja na hata safari za ndege kwenye hii miji sidhani kama zitakwepo tena. Hivi mmejaribu kuforecast +ve impact yake kwenye uchumi? 🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀
 
Nilikuambia urudi shuleni hapo Kenya ni 2nd largest! na besides, hizo za kwenu kwa list almost all ni foreign! najua TZ owned with huge performance ni zero ama kidogo sana. prove me wrong on top 15 companies in East Africa uone mlivyo ovyo
Hizi ni mambo za kujifariji tu kwn nani asiyejua kwamba km Tz itaamua km ilivyoamua ss hakuna wa kuikaribia ukanda huu? We hujui kwamba Tz inakwenda kuwa super power EA? Endelea kujifariji wakati ukweli unaujua.
 
Hivi ndugu zanu mnakiona hiki nachoiona hapa? Kwa sgr na more than 2 lanes road Dar - Moro - Dodoma zitakua kama jiji moja na hata safari za ndege kwenye hii miji sidhani kama zitakwepo tena. Hivi mmejaribu kuforecast +ve impact yake kwenye uchumi?
Safari za ndege zitaendelea kuwepo km kawa, c unajua Tz ina watu wengi sana so watakao panda ndege wapo na watakaopanda treni (wengi sn) pia wapo mkuu, hakuna biashara ya hasara Tz.
 
TZ hamna market kubwa ya aviation. Hampandi ndege sana.
Safari za ndege zitaendelea kuwepo km kawa, c unajua Tz ina watu wengi sana so watakao panda ndege wapo na watakaopanda treni (wengi sn) pia wapo mkuu, hakuna biashara ya hasara Tz.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom