The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Nilimuwekea hiki chuma eti akasema nimeiba picha ya ulaya nikaedit [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Hapo nnayemuonea huruma ni Teargass mana huwa hapendi kukubali inafikia kipindi huwa analia kabisa anapoona kenya imepitwa, mfano juzi alilia humu baada ya kugundua ukweli kwamba jeshi letu linatumia helicopters ambazo zinatumiwa na jeshi la Marekani [emoji3][emoji3][emoji3]