Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

0CF5F61C-B27F-471F-91EE-B7E8233A37F8.jpeg
69724D76-B768-49A0-9510-ED17E3F915C6.jpeg
FA2B0332-C919-4BA6-8A1D-4FAFA77262F3.jpeg
5F716834-5070-4B11-B88C-2092C94DAEA3.jpeg
 
Nyie hata hamna chopper zaidi ya kumi na tano nchi nzima. Sasa mtapata vipi ajali ya ndege?
Nyie hata hamna chopper zaidi ya kumi na tano nchi nzima. Sasa mtapata vipi ajali ya ndege?
Point of correction sema Tanzania haina rejected right off helicopters! All the helicopters in the offseas doing gas explorations don't crash like that!
 
Maana ya continously welded railway 🥶🥶🥶



Mimi ni mojawapo ntakaotumia sana hii SGR. Jana mama alintumia sms sato nliomletea kamaliza na mimi sina safari hivi karibuni ya kwenda kanda ya ziwa na hua naenda kwa ndege. So unaweza kuona hapa nasacrifice jmosi tu natoka kumi na mbili saa saba nipo mwanza, nabargain sato na dagaa then saa tisa au kumi natoka mwanza saa nne au tano nipo dsm ambao ni muda wangu wa kawaida wa kurudi home.
Kanda ya ziwa sato napata kwa alfu 4@sato ila now inabidi nkanunue kwa alfu 10@sato kwa wafanya biashara na bado dagaa, sasa jiulize nkienda kanda ya ziwa nkachukua ndoo ya sato na kindoo cha dagaa sintakua nimeokoa zaidi ya laki 2. na hiyo package tunakaa nayo miezi miwili
 

Nimependa jinsi wanavyoiandaa sector ya kilimo isupply raw materials for industries, hizi sectors hua zinaenda parallel. Sasa kuna watu wanakurupukia viwanda na hawana raw materials + bei kubwa ya power sidhani kama wataweza kushindana.
Na hichi ndio mchina alichofanikiwa, gharama ndogo ya raw materials na power ndio itakufanya uwe kinara kwenye swala la price competition
:) sasa acha wajifanye iphone
 
Back
Top Bottom