toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
😀 Wanapiga domo huku ATCL inapiga hela kimyakimyaIngia website ya ATCL uone bookings za November zilivyojaa, Dar mwanza ni 3 flights per day as well as Dar kilimanjaro
😀 Wanapiga domo huku ATCL inapiga hela kimyakimyaIngia website ya ATCL uone bookings za November zilivyojaa, Dar mwanza ni 3 flights per day as well as Dar kilimanjaro
Imekuingia hyoHahahaha hivi wewe shenanigan wa mombasani huwa unaongea ukiwa na akili timamu kweli?![]()
Inakaa tu soko ya kariakoo
😀 Sio mbaya, ingeniuma kama ugefananisha na masoko ya nairobiInakaa tu soko ya kariakoo
Enyewe,ungeumwa sana,soko za Nairobi zinachapa hii station, hahaha😀 Sio mbaya, ingeniuma kama ugefananisha na masoko ya nairobi
Ok ok nmekuelewa sn mkuu.Ukiwa unatoka msamvu kuelekea dom utaikuta maeneo ya kihonda pale sgr inapokatisha kwa upande wa kulia
Tatizo Afrika bado ina wajinga wengi yn mtu anashindwa kabisa nchi inaelekea wapi kwa ss anakuambia anataka maendeleo ya watu (msemo wa kisiasa), uliwahi kuona wapi kuna maendeleo ya watu pasipo vitu?Wee punguani hii ndio mara ya mwisho kukuquote nkufunue turbo ya kuelewa unless kichwa chako kiwe kimejaa makande badala ya ubongo.
Unachotakiwa kujua ni kuwa wanasiasa wana maneno mengi sana ila sisi maengineer tunapima vitendo na ukipima foundation anayoiweka Magu unajua fika kuwa hapa tunajega ghorofa na sio msonge kama huyo lisu wenu anavyowaambia maendeleo ya watu mjenge misonge
Huyo ndivyo alivyo huwa anavamia majukwaa ya watu na kuwaharibia hoja zao, mfano hapo chini amevamia thread yetu ya manchester utd na kutukana watu mule mpk pale jamaa alipomuambia km anataka kazi aache matusi ndipo akapunguza matusi kwa sharti la kupatiwa kaziKwanini ndugu usiende jukwaa la siasa huko kuelezea hisia zako,na kutoa matusi huko,huku Ni jukwaa la watu wasio kua na mihemiko ya namna hii, hapakufai hapa aisee.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app

Haujakosea wala.Inakaa tu soko ya kariakoo
Invisible Moderator kuna mtu anavunja amani kila siku anaitwa Ollachuga OcTatizo Afrika bado ina wajinga wengi yn mtu anashindwa kabisa nchi inaelekea wapi kwa ss anakuambia anataka maendeleo ya watu (msemo wa kisiasa), uliwahi kuona wapi kuna maendeleo ya watu pasipo vitu?
Waafrika wanapenda siasa mno wanapenda waongopewe cku zote na co uwaambie uhalisia, wanataka wakiamka tu waone reli ya umeme, madaraja kila mahali, ajira kedekede, lami kote, hospitali n.k lkn hawataki kuzipitia hzo njia mpk kufika hapo.
Hivi we utakuwa mtu gn mpk usielewe kitu gn kinaendelea kwa sasa? Ushawahi jiuliza km bwawa la umeme litaisha itakuwaje? Sgr ikiisha itakuwaje? Mabarabara yote yakiisha itakuwaje? Wanabaki kuwasikiliza wanasiasa eti nitawajaza pesa mifukoni nitawapeni ubwabwa yn waafrika ni hatari sana.
Lakini cha kufurahisha ni kwamba kwa hapa kwetu Tanzania hakuna mpuuzi yyte atakaye badilisha upepo serikali ikisema tunaenda hv wananchi lazima watii na ikitokea tumepata kiongozi bora km huyu basi maendeleo ni fasta km unavyoona.
safi sana utatoboa usiwe na hofuNdio napambania mkuu ..siyo kwamba naandika kufurahisha watu hapa.