Tatizo Afrika bado ina wajinga wengi yn mtu anashindwa kabisa nchi inaelekea wapi kwa ss anakuambia anataka maendeleo ya watu (msemo wa kisiasa), uliwahi kuona wapi kuna maendeleo ya watu pasipo vitu?
Waafrika wanapenda siasa mno wanapenda waongopewe cku zote na co uwaambie uhalisia, wanataka wakiamka tu waone reli ya umeme, madaraja kila mahali, ajira kedekede, lami kote, hospitali n.k lkn hawataki kuzipitia hzo njia mpk kufika hapo.
Hivi we utakuwa mtu gn mpk usielewe kitu gn kinaendelea kwa sasa? Ushawahi jiuliza km bwawa la umeme litaisha itakuwaje? Sgr ikiisha itakuwaje? Mabarabara yote yakiisha itakuwaje? Wanabaki kuwasikiliza wanasiasa eti nitawajaza pesa mifukoni nitawapeni ubwabwa yn waafrika ni hatari sana.
Lakini cha kufurahisha ni kwamba kwa hapa kwetu Tanzania hakuna mpuuzi yyte atakaye badilisha upepo serikali ikisema tunaenda hv wananchi lazima watii na ikitokea tumepata kiongozi bora km huyu basi maendeleo ni fasta km unavyoona.