Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Natural vs artificial training. Natural is better.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 comment of the day!!Natural vs artificial training. Natural is better.
Hii stendi ipo maeneo gn pale moro?
Ndio napambania mkuu ..siyo kwamba naandika kufurahisha watu hapa.pole sana utatoka tu mkuu,,lakini umesahau miji kadhaa mingine uliyotembelea kama chicago,singapore,beijing na texas maana niliwahi kukuona ukiwa unatafuta dili....
ila dah akili ya mtazamo wako kikauli inakuonyesha kabisa kuwa wewe ni mtu wa aina gani...
usitumie nguvu nyingi kama kijana bado unasafari pambania maisha yako ,kuliko kuongea usivyovijua kiroho safi
Si ndio Aisha mashauziKhadija kopa in the making
Ukiwa unatoka msamvu kuelekea dom utaikuta maeneo ya kihonda pale sgr inapokatisha kwa upande wa kuliaHii stendi ipo maeneo gn pale moro?
Magu bwana angetuletea hii kitu iwe kama amempiga mtani kofi la kisogo aka backslapping, haya mambo madogo sana kwetu
Chama chao chakavu kimeshindwa kuondoa umasikini kwa zaidi ya miaka 50 sasa ..bila kuondoa hili chama chakavu tutaendelea kuona Kenya ikituacha mbali sana.Lakini bandwagons huwa hawapendi ukweli.Ccm imewabeba ufala sana hadi ni ngumu kwao kuona ukweli.The problem with them is that they are their own problems
Wee punguani hii ndio mara ya mwisho kukuquote nkufunue turbo ya kuelewa unless kichwa chako kiwe kimejaa makande badala ya ubongo.Nyie maccm ndo mmejazana utaahira kichwani mna haribu nchi na kuongeza umasikini kwa watanzania. Pumbavu
Peleka ujinga Uko hiyo mmeiga kwa Magufuli, baada ya kile kimbunga tulipeleka misaada kwa mozambiq,malawi na Zimbabwe...hapo mmejiskia aibu na ka gidipi kenu mchwara....sisi tumeanza kutoa misaada tukiwa atujatimba MIC, sisi ni donor country elewa.Wivu itakunyonga babu! Tanzania hamna huo uwezo ama nyie wachoyo kishenzinext door neighbour u cant assist ata kusema pole ni balaa! No wonder u have no meaningful progress with trickle down effect at all, only propaganda to hoodwink the public yet multidimentional poverty prevails!
Asante sana mkuu..
Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani ambayo wananchi wake wapo na Chakula cha kutosha, maji, umeme na malazi bora?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Angalia hili takataka ..Foundation ya kununua wanasiasa wa upinzani na kuua demokrasia? Foundation ya kutokuajiri kwa kizingizo cha wafanyakazi hewa? Foundation ya kuondoa pension pale unapostaafu eti hadi uzeeke pumbavu, foundation ya kupiga watu risasi na kuwapoteza wengine kisa limekosolewa? Foundation nyie majizi wenzake ndo munafaidi kwa kula zuluma huku wananchi wakiendelea kupigika, uko mtwara kaua soko la korosho, anajifanya kichwa ngumu hashauriki ..foundation ya kununua mandege yasiyo na faida yeyote kwa wananchi wa kawaida ..hakuna la maana alilofanya huyu jamaa ..nyie wote mtabeba maumivu na vilio vya graduate mnawapiga kwenye mikopo 15% mtu alipe ndo katoka chuo na kazi bado hamna ..ndo foundation aliyojenga magu siyo...wewe utakuwa msukuma nadhani ..pumbavu usini quote tenaWee punguani hii ndio mara ya mwisho kukuquote nkufunue turbo ya kuelewa unless kichwa chako kiwe kimejaa makande badala ya uongo.
Unachotakiwa kujua ni kuwa wanasiasa wana maneno mengi sana ila sisi maengineer tunapima vitendo na ukipima foundation anayoiweka Magu unajua fika kuwa hapa tunajega ghorofa na sio msonge kama huyo lisu wenu anavyowaambia maendeleo ya watu mjenge misonge
Kwanini ndugu usiende jukwaa la siasa huko kuelezea hisia zako,na kutoa matusi huko,huku Ni jukwaa la watu wasio kua na mihemiko ya namna hii, hapakufai hapa aisee.Nyie maccm ndo mmejazana utaahira kichwani mna haribu nchi na kuongeza umasikini kwa watanzania. Pumbavu
Naona kwa mipasho na taarab uko vizuri sana dadaSi ndio Aisha mashauzi
😀 😀 😀 Eti msukuma, kwa taarifa yako wachaga mwaka huu tunachagua ccm, tushachoka na chademaAngalia hili takataka ..Foundation ya kununua wanasiasa wa upinzani na kuua demokrasia? Foundation ya kutokuajiri kwa kizingizo cha wafanyakazi hewa? Foundation ya kuondoa pension pale unapostaafu eti hadi uzeeke pumbavu, foundation ya kupiga watu risasi na kuwapoteza wengine kisa limekosolewa? Foundation nyie majizi wenzake ndo munafaidi kwa kula zuluma huku wananchi wakiendelea kupigika, uko mtwara kaua soko la korosho, anajifanya kichwa ngumu hashauriki ..foundation ya kununua mandege yasiyo na faida yeyote kwa wananchi wa kawaida ..hakuna la maana alilofanya huyu jamaa ..nyie wote mtabeba maumivu na vilio vya graduate mnawapiga kwenye mikopo 15% mtu alipe ndo katoka chuo na kazi bado hamna ..ndo foundation aliyojenga magu siyo...wewe utakuwa msukuma nadhani ..pumbavu usini quote tena
Tony mimi ni mojawapo ninaetumia sana hiyo route, ATCL inajaza kila siku kwa sababu ya huduma bora. Mandege ambayo hayajazi ni yale mlioweka hisa zenu na tutayakwepa mpaka mtakapouza hisa zenuNaongea kuhusu domestic market Route kutoka Dar hadi Mwanza au Dar hadi Dodoma.