Wewe jamaa utakuwa na matatizo sana. Unadhani Issue zenu za kenya ndiyo issue za TZ
Na unatakiwa uwe tayari kujifunza. Tatizo lako ujiaji wa kijinga na hautaki kujifundisha.
Anyways:
PT = Polisi Tanzania
MT = Magereza Tanzania
UT = Uhamiaji Tanzania
JW = Jeshi la wananchi
SU = Shirika la Umma
SM = Serikali za mitaa
ST(K,J...) Serikali ya Tanzania
CD = Diplomat Car
E = Escort
S = Spika
NS= Naibu Spika
CS = Katibu mkuu kiongozi
JM = Jaji mkuu
CDF = Mkuu wa majeshi
RC = Reginal Cammisioner
Orodha ni defu sana.
Usilete ujinga wako hapa