Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwahiyo gari mpaka iandikwe polisi ndio inakuwa ya police,anyway huko ni kenya ambapo hamna identity ya gari za taasisi za uma.
Hku gari za uma zote ni GK, kwhyo hapo utajua tu km ni ya serkali lkn huwezi elewa kitengo labda iwe imeandikwa pembeni km zinavyoandikwa zingine
 
We jamaa ni mshamba sana. Hebu ondoa ushamba wako hapa.
All V8 is Land Cruiser (Toyota)
Aise kumbe wakenya ni washamba hivi
Hakuna gari inayoitwa V8 jomba, V8 hyo ni aina ya engine...
Na hzo ndio kati ya gari za land cruiser zinazotumia V8 engines...
Kumbe wewe ndio mshamba[emoji23][emoji23][emoji23]
V8 ni engine type[emoji3][emoji3][emoji3]
 
We jamaa ni mshamba sana. Hebu ondoa ushamba wako hapa.
All V8 is Land Cruiser (Toyota)

Aise kumbe wakenya ni washamba hivi
Mtu na akili zake angelielewa kw haraka km na maanisha land cruiser, lkn vile na wewe unatka ili uonekane unajua twende.
 
Hku gari za uma zote ni GK, kwhyo hapo utajua tu km ni ya serkali lkn huwezi elewa kitengo labda iwe imeandikwa pembeni km zinavyoandikwa zingine

sasa usikariri,huku gari za polisi ni PT kuandikwa police ubavuni sio lazima.
 
Hku gari za uma zote ni GK, kwhyo hapo utajua tu km ni ya serkali lkn huwezi elewa kitengo labda iwe imeandikwa pembeni km zinavyoandikwa zingine
Wewe jamaa utakuwa na matatizo sana. Unadhani Issue zenu za kenya ndiyo issue za TZ
Na unatakiwa uwe tayari kujifunza. Tatizo lako ujiaji wa kijinga na hautaki kujifundisha.
Anyways:
PT = Polisi Tanzania
MT = Magereza Tanzania
UT = Uhamiaji Tanzania
JW = Jeshi la wananchi
SU = Shirika la Umma
SM = Serikali za mitaa
ST(K,J...) Serikali ya Tanzania
CD = Diplomat Car
E = Escort
S = Spika
NS= Naibu Spika
CS = Katibu mkuu kiongozi
JM = Jaji mkuu
CDF = Mkuu wa majeshi
RC = Reginal Cammisioner

Orodha ni defu sana.
Usilete ujinga wako hapa
 
IMG_1601997432.541355.jpg
IMG_1601997444.511176.jpg
IMG_1601997455.799655.jpg
 
Usitegemee iwe kubwa kiivyo, Zanzibar ni sehemu ndogo sana, ina watu kama Milioni 1 hivi (Unguja + Pemba), hivyo kujibu swali lako ukubwa wake unatosha kwa mazingira ya Zanzibar.
I just want to know the size, hizo story zingine unaezabaki nazo.
 
Back
Top Bottom