Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi sina tatizo na ujenzi wa reli zote mbili, tatizo langu ni kwanini wasingeendekeza kama walivyofanya mwanzo, yaani Dar - Moro - Nakutopora - Isaka - Mwaza, ili njia ifunguke taratibu?.

Kumbuka kwamba, Control center ya SGR ipo Dar.kwahiyo Mwanza- Isaka haiwezi kufanya kazi bila kuunganishwa na Dar.

Lakini hata usafirishaji wa hizo trains za SGR, zitafikaje huko Mwanza?
1)Ziendeshwe hadi Dodoma, ndio zipakiwe katika MGR hadi Mwanza
2)Zipakiwe na MGR toka Dar hadi Mwanza, logistically haijakaa vizuri.
1 Mwanza inaweza fanya kazi..bila Dar Mkuu ..cause kuna train zitakuwa zinaanzia mwanza kushuka chini kuja Dar
2 ..hapo logistic sielewi itakuwaje mkuu lets see on that part..sina uhakika itakuwaje
3..Kutangazwa kwa Mwanza-Isaka inaweza kuwa kwa sababu Goverment ndo inahela muda huu..inawezekana after 6 months -1yr tukaskia na makutupora isaka imetangzwa..depending on how we get cash...i think Goverment itatafuta loan ya makutupora -Isaka baada ya uchaguzi kuisha ...most likely by mwezi wa 6 mwakani ikawa imetangazwa..banks zenyewe zinasubiri zione mwenendo wa uchaguzi

Personally my view is that tunawadai Barrick 300 mil wametupa intial 100mil usd inawezekana hii ikawa ndo inaanzia kazi ...kwa kuongezea kwenye budget..labda..plus barrick watailipa Tz 40$mil kila mwaka for 5yrs ..lets see
 
Kikwete alikuwa rais mzuri sana wa Tanzania. Nilipenda sana huyo mtu. Alikuwa Muungwana sana. Hakuwa na masihara na hasira kama huyu aliyekalia kiti sasa hivi.
hapana,,,ujue nyie mlipokuwa mnatufanyia ubaya tlikuwa tunawachekea kwa kutojali mnachotufanyia.....
kinachotokea sasa ivi ni vile mlivyoishi kwa kutufanyia sivyo way back.......na tulikuwa hatuzijui behaviour za government yenu....malipo ni hapa hapa duniani kwa sasa mkitufanyia ubaya nasi tunawatwanga japo hatupo kama nyie tofauti ni kuwa nyie mnaanzisha ubaya sisi tunamaliza.......huwa hatuanzi kuwafanyia ubaya
 
Hahaha kwa hiyo kutakua hakuna Dr. Pombe Magufuli Avenue Nairobi? BTW ndege wetu Tausi bado wapo au wameshatelekezwa?
Huyo hata hakuna choo itakayopewa jina lake. Hakuna Mkenya anayempenda. Ana chuki sana kwenye roho yake.
 
1 Mwanza inaweza fanya kazi..bila Dar Mkuu ..cause kuna train zitakuwa zinaanzia mwanza kushuka chini kuja Dar
2 ..hapo logistic sielewi itakuwaje mkuu lets see on that part..sina uhakika itakuwaje
3..Kutangazwa kwa Mwanza-Isaka inaweza kuwa kwa sababu Goverment ndo inahela muda huu..inawezekana after 6 months -1yr tukaskia na makutupora isaka imetangzwa..depending on how we get cash...i think Goverment itatafuta loan ya makutupora -Isaka baada ya uchaguzi kuisha ...most likely by mwezi wa 6 mwakani ikawa imetangazwa..banks zenyewe zinasubiri zione mwenendo wa uchaguzi

Personally my view is that tunawadai Barrick 300 mil wametupa intial 100mil usd inawezekana hii ikawa ndo inaanzia kazi ...kwa kuongezea kwenye budget..labda..plus barrick watailipa Tz 40$mil kila mwaka for 5yrs ..lets see
Ninakubaliana na wewe, ila jambo moja tu ambalo ninataka kukuelewesha ni kwamba, Control center ya njia yote ipo Dar.hata train iliyopo station ya Kigoma itakuwa inafuata maekekezo ya Dar, yaani madereva wa hizi trains watakuwa wanawasiliana moja kwa moja na kupokea amri toka Dar.

Lazima Control center iwe moja ili kuepuka mgongano wa maelekezo, Mwanza haipaswi na wala hakutojengwa control center, kwahiyo hiyo Mwanza - Isaka lazima iunganishwe na Dar ndio ianze kufanya kazi.
 
Huyo hata hakuna choo itakayopewa jina lake. Hakuna Mkenya anayempenda. Ana chuki sana kwenye roho yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi David Ndii ni kabila gani, maana hii itanipa picha ya kinacho endelea.
Mkikuyu aliyepinda haendekezi siasa za ukabila!

Screenshot 2020-10-04 11.56.31.png
 
We unaijua Europe au unaiskia tu[emoji23][emoji23][emoji23]jaribu hata kuzuru jamani
 
We unaijua Europe au unaiskia tu[emoji23][emoji23][emoji23]jaribu hata kuzuru jamani
Najua kumia ni jadi yako ....so deal with it[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]in last 2 week ambassador of USA alisema anahisi yuko NY....embu kabishane nae kwanza ndio uje[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom